Kuna wadau wa fresh coffee humu?

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Habari wakuu?
Je kuna wadau wapenzi wa kahawa nzuri na fresh humu?upo tayari kulipia bei gani kwa premium fresh coffee ambayo imeroastiwa si zaidi ya 48 hours.? Tembelea website yangu kuona machaguo yako na maoni yako. Website ni mpya na nakaribisha maoni mbali mbali. www.Brewa.co.tz or call 0753038470
 
wadau tupo. hapa kama kitu kipo roasted ikiwa inachemka mtaa wa pili wanajua
Broo. Kahawa yangu ni fresh na watu wanaipenda kinoma. Kwanza nikikuletea lazima uiskie.
 
πŸ˜‚ Mkuu, yaani kahawa ni kinywaji kizuri sana naweza kuilipia bei yoyote inategemea na uborq wake
10,000 for 200grams. Kahawa yangu ni premium beans na kama una machine utaifurahia. Nilikua nikiuzia baadhi ya ofisi ambazo wana machine za kahawa ila sasa hivi nimeamua kujiongeza na kutanua soko.
 
10,000 for 200grams. Kahawa yangu ni premium beans na kama una machine utaifurahia. Nilikua nikiuzia baadhi ya ofisi ambazo wana machine za kahawa ila sasa hivi nimeamua kujiongeza na kutanua soko.
Hongera sana
 
Kuna siku nilikunywa kikombe cha kahawa Moshi mjini aisee ilikuwa super sana sitaisahau kwakweli
Tanzania tuna kahawa nzuri sana ila wakenya wanatupiga kwenye soko la nje

Kweli kuna kahawa nzuri sana nyumbani
 
Hivi kahawa si ni chungu?
Inategemeana na wewe unavyo taka kuitumia iwe chngu au nyepesi , moto au baridi na iwekwe maziwa au bila ya maziwa ni wewe tu na unavyopendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…