Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 284,235
- 738,451
Kuna Post Niliwahi kuweka hapa kuwahusu wadada wa kazi (housegirls) nikitahadharisha kina baba wenye nyumba kutotembea nao
Leo ni mwendelezo ule ule lakini kwa muktadha tofauti
Hapa ni bila kujali kama ana mahusiano na baba mwenye nyumba ama la, wengi huja kwa lengo la
-kufarakanisha ndoa
-Kuzima na kuziba nyota za wenye ndoa
-kutafuta wafuasi wapya wa uchawi na ushirikina (watoto na ndugu ndani ya familia)
-kupata zana za kwenda kufanyia ushirikina kama nguo nywele damu nknk
Hakuna hata mmoja hapa ambaye atakosa Story ya vituko vya kushangaza vya msichana wa kazi aliye Wahi kuishi naye
Wengine tumeshawakamata live wakifanya mambo ya kishirikina, wengine baada tu ya kuanza kuishi nao familia ikaanza kuyumba na matukio ya ajabu kuanza kuiandama
Wengine kila siku ni kuugua au kuuguliwa ndani ya familia mpaka
Wengine kuleta mikosi chuma ulete na mabalaa ya kila aina... Alimradi unaona kabisa Mabadiliko hasi kwenye familia
Kwahiyo ni vema kuwa na hakika ya binti unayempata hasa historia yake japo hili ni gumu kidogo kuwa makini na Mabadiliko yoyote utakayoyaona pindi aingiapo kwako ili ujiokoe mapema na makubwa yanayoweza kuja kutokea mbeleni