mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,572
R.I.P.
Marehemu hasemwiKumbe ndo mana kafia bafuni....![]()
Amefariki lini mbona id haina r.i.pPumzika kwa amani mkuu.
Nimeiona post yako, japo nimechelewa kukujibu ulipokuwa hai hapa duniani.
Najua comment hii hutaiona....ila angalau nimefarijika kukujibu.
RIP puppa
Amen
CC: Evelyn Salt, cute b BADILI TABIA
Kafariki janaAmefariki lini mbona id haina r.i.p
Serious?Kafariki jana
Nimesema na mimi.