kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,970
- 4,448
Uliowataja hapo wote wana uhusiano gani na dini yoyote??Yaani watu wako radhi kukumbatia dhambi za ajabu sana ila papa kagusia tu kuwahurumia mashoga imekuwa nongwa. Waafrica ni wapuuzi wa kufikiri. Angalia hii:
Watu Hawa wanazini wazi wazi ila huwezi kukuta makanisa au misikiti inawafikuza zaidi ni kuwakumbatia kwa sababu wana hela:
1. Diamond pltatnumz anazini hadharani kabisa mana Hana ndoa ila ana watoto(zinaa)
2. Manara anazini mubashara na Maka kaenda.
3.: Gigi money anajiuza kabisa lakini anashinda kwa mwamposa kuombewa jioni anaenda kusaka wanaume.
4. Wema nsepetu anazini na whozu daily na msikitini hakosi na anonekana ni hero pia
Hivi wewe binafsi, mtoto wako kwa kiume akimla demu na akiliwa yeyeYaani watu wako radhi kukumbatia dhambi za ajabu sana ila papa kagusia tu kuwahurumia mashoga imekuwa nongwa. Waafrica ni wapuuzi wa kufikiri. Angalia hii:
Watu Hawa wanazini wazi wazi ila huwezi kukuta makanisa au misikiti inawafikuza zaidi ni kuwakumbatia kwa sababu wana hela:
1. Diamond pltatnumz anazini hadharani kabisa mana Hana ndoa ila ana watoto(zinaa)
2. Manara anazini mubashara na Maka kaenda.
3.: Gigi money anajiuza kabisa lakini anashinda kwa mwamposa kuombewa jioni anaenda kusaka wanaume.
4. Wema nsepetu anazini na whozu daily na msikitini hakosi na anonekana ni hero pia
Kwa nini kuliwa mwanaume siyo poa ila kwa mwanamke iwe poa!!??Zote dhambi ila kuliwa mwanaume sio poa
Kuswaliwa ni kwenda peponi??Nilishangaa sana. Nikasema kumbe ukiwa shoga kuswaliwa ile swala ya mwisho ukifa rukswa. Sasa hapo si inakuwa mmekubaliana na vitendo alivyokuwa akifanya angali hai? Au mimi sielewi?
Ushoga ni dhambi kubwa ila siyo ukafiriAccumen Mo Bado hujajibu hoja.
Swala ya kumuombea maiti siyo takatifu??
Kama swala ni jambo takatifu, kumswalia shoga ni sawa!!??
Ushoga siyo ukafir!!??
VanitiesUshoga ni dhambi kubwa ila siyo ukafiri
Katika uislamu kuna madhambi ambayo yanamtoa mtu kwenye uislamu
Uzinzi na ushoga hayapo
Bali hizo ni dhambi kubwa ambazo sio kufuru
Swala hapa ni kuhalalisha ushogaYaani watu wako radhi kukumbatia dhambi za ajabu sana ila papa kagusia tu kuwahurumia mashoga imekuwa nongwa. Waafrica ni wapuuzi wa kufikiri. Angalia hii:
Watu Hawa wanazini wazi wazi ila huwezi kukuta makanisa au misikiti inawafikuza zaidi ni kuwakumbatia kwa sababu wana hela:
1. Diamond pltatnumz anazini hadharani kabisa mana Hana ndoa ila ana watoto(zinaa)
2. Manara anazini mubashara na Maka kaenda.
3.: Gigi money anajiuza kabisa lakini anashinda kwa mwamposa kuombewa jioni anaenda kusaka wanaume.
4. Wema nsepetu anazini na whozu daily na msikitini hakosi na anonekana ni hero pia
Kama mjusi ni ALLAH Kwa ivo waislam hawana sababu ya kupambana na mashoga bali wamwachie ALLAH mjuzi wa yote kuamua atawafanyaje mashoga siku ya kiyama!!Hayo mengine ALLAH ndio mjuzi
Kumbe mtu kuwa shoga hakumfanyi mtu huyo kutoka kwenye uislam!!!??Ushoga ni dhambi kubwa ila siyo ukafiri
Katika uislamu kuna madhambi ambayo yanamtoa mtu kwenye uislamu
Uzinzi na ushoga hayapo
Bali hizo ni dhambi kubwa ambazo sio kufuru
TZ na waafrika wanapenda ushabiki na mkumbo. Suala la kujiuliza hivi ukigundua ndugu yako kageuka shoga utakubali akauwawe ? Vishoga vyenyewe ni vitoto vidogo ambavyo sisi wenyewe tumesababisha viharibike. Uzembe wa jamii umepelekea kuzalisha mashoga. Mda mwingine watu wazima ndio wanaobaka watoto hatimae watoto wanaharibika. Tunatakiwa tuangalie mzizi wa totizo sio matokeo ya tatizo. Kwa nini asiuawe na kuchomea moto anaesababisha mashoga wawepo.Mleta mada hapa kinachotusumbua watanzania kama ilivyo kwa waafrika wote ni unafiki. Kutokusema ukweli wa nafsi zetu.
Wakina dada wngapi wanafukuliwa nyuma lkn kutwa wako makanisani?
Wakaka wangapi wanafukuana mitaro lkn asubuhi wako misikitini?
Zanzibar mashoga wamejaa kila kona mbona hatusikii tamko la kuyalaani?
Hujaelewa au unafanya makusudiKama mjusi ni ALLAH Kwa ivo waislam hawana sababu ya kupambana na mashoga bali wamwachie ALLAH mjuzi wa yote kuamua atawafanyaje mashoga siku ya kiyama!!
Mashoga na wafir@ji wanajitambulisha wenyewe 😂😂TZ na waafrika wanapenda ushabiki na mkumbo. Suala la kujiuliza hivi ukigundua ndugu yako kageuka shoga utakubali akauwawe ? Vishoga vyenyewe ni vitoto vidogo ambavyo sisi wenyewe tumesababisha viharibike. Uzembe wa jamii umepelekea kuzalisha mashoga. Mda mwingine watu wazima ndio wanaobaka watoto hatimae watoto wanaharibika. Tunatakiwa tuangalie mzizi wa totizo sio matokeo ya tatizo. Kwa nini asiuawe na kuchomea moto anaesababisha mashoga wawepo.
Halafu waafrika ni waongo waongo na hawapo serious, mpaka leo kwa nini hawatungi hizo sheria kali dhidi ya mashoga. Ingekuwa China au korea tayari watu wangeisha nyongwa sie kazi yetu kuhemka tu na jambo linaendelea vile vile.
Dini ni siasa ya kale iliyovikwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.Yaani watu wako radhi kukumbatia dhambi za ajabu sana ila papa kagusia tu kuwahurumia mashoga imekuwa nongwa. Waafrica ni wapuuzi wa kufikiri. Angalia hii:
Watu Hawa wanazini wazi wazi ila huwezi kukuta makanisa au misikiti inawafikuza zaidi ni kuwakumbatia kwa sababu wana hela:
1. Diamond pltatnumz anazini hadharani kabisa mana Hana ndoa ila ana watoto(zinaa)
2. Manara anazini mubashara na Maka kaenda.
3.: Gigi money anajiuza kabisa lakini anashinda kwa mwamposa kuombewa jioni anaenda kusaka wanaume.
4. Wema nsepetu anazini na whozu daily na msikitini hakosi na anonekana ni hero pia
Wewe unajuaje??Kumbe mtu kuwa shoga hakumfanyi mtu huyo kutoka kwenye uislam!!!??
Kuna adhabu za duniani na akheraKama mjusi ni ALLAH Kwa ivo waislam hawana sababu ya kupambana na mashoga bali wamwachie ALLAH mjuzi wa yote kuamua atawafanyaje mashoga siku ya kiyama!!
Anaweza akawa kinu au mwichi😂😂hili jamaa shoga...
Soma maelezo yako ndiyo utajua nimejuaje.Wewe unajuaje??
Hata kuzini hakumtoi mtu kwenye uislamu ila ni miongoni mwa madhambi makubwa na adhabu yake nadhani unaijua