kuna uwezekano wa kuchakakua post za wordpress zionekane katika custom (static html page)

kuna uwezekano wa kuchakakua post za wordpress zionekane katika custom (static html page)

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
sijui kama nimeeleweka

mimi ni mtumiaji wa wordpress.hivi karibuni nimetengeneza website yangu mwenyewe from scratch sasa..napenda nipate code kutoka katika page yangu ya wordpress ambayo itabeba zile recently post tu (sio na mambo mengine kama footer,header au links) afu nipaste katika page yangu niliyocreate...so kila nikiandika post kule wordpress iwe pia inatokea katika page mpya....msaaada jamani......
 
Back
Top Bottom