Kuna uwezekano mwanamke asipate mimba?

Kuna uwezekano wa mwanamke kuepuka kushika mimba akiwa na tabia ya kujisafisha kwa maji punde tu baada ya tendo?

Wataalamu njoeni kabla hakijaumana
Kama ulitegemea ukimwaga ndani kisha ukamloesha na maji itazuia mimba basi jiandae kisaikolojia tu
 
He he labda uamue kwa kunipa tarehe za uongo ila ukinipa tarehe sahihi ulioanza p na ilidumu siku ngapi sahau
Una utalaamu na hii njia ya kalenda ndugu? Unaweza share? Naimani itanisaidia sana maana kuna nyakati kila nikitaka chomoa inakuwa ngumu daah!
 
Una utalaamu na hii njia ya kalenda ndugu? Unaweza share? Naimani itanisaidia sana maana kuna nyakati kila nikitaka chomoa inakuwa ngumu daah!
Kwa kweli kuruka kwenye kalandinga la jeshi likiwa speed ni mziki mnene!😅 Lazma ubuni mbwinu tu yani.
Eeh utaalam upo wa kutosha mkuu
 
Back
Top Bottom