Kuna ushauri wa tatizo kama hili?

niliunganishwa group flan watsap mpuuz mmoja akatuma video ya hao lesbians....asee kama mkeo kashaingia humo duuuhh cjui tena...maana wanavyogegedana hutoamini

Hahaaaa mkuu unataka kusema sisi ni ziro kabisa, tunawapapasa papasa??!!
 

Audio pls
 
Zote ni cheating...

Zote Mungu hapendi.....

Ila kuzidiwa ufundi na mwanamke aibu ujue....(Usikute munewe huwa anajitapa "game" lake sio mchezo halafu hg amzidi kete)

Hivi ni kipi bora, kujua mkeo anasagana au kujua kuwa mkeo anagongwa nje na kidume mwingine?
 
Hahaaaa mkuu unataka kusema sisi ni ziro kabisa, tunawapapasa papasa??!!

Hahaaaaa

Yelewiiiii

Ila seriously mtu anapataje hisia kwa mwenzie wa jinsia yake???? Au ni aina mojawapo ya ukichaa???
 
mhh ufirauni ni mtamu ukianza auachi na ukiachaa labda kwa kutumia njia mbadala ambayo pia ni ngumu ni kama tigo tu walioanza wanakiri kuacha ni ngumu dhambi ni tamu jamani

huyo mwanamke kama kaamua kuacha yeye na mume wake wanAtakiwa wafanye mambo flani kwa pamoja kuakikisha anaacha ni simple lakini ina mkost zaid mwanaume
 
Hahaaaaa

Yelewiiiii

Ila seriously mtu anapataje hisia kwa mwenzie wa jinsia yake???? Au ni aina mojawapo ya ukichaa???
Eti wanasema kuwa gay ni hali mtu anazaliwa nayo, au mazingira aliyokulia!!! unaweza kweli kufikiri kuwa na intimacy na mtu wa jinsia yako?
 
Zote ni cheating...

Zote Mungu hapendi.....

Ila kuzidiwa ufundi na mwanamke aibu ujue....(Usikute munewe huwa anajitapa "game" lake sio mchezo halafu hg amzidi kete)

Cheating ya kusagana haiumi kuliko ya kupigwa nje na mwanaume mwingine.
 
masai dada, what a controversial character!!
your age doesn't match the experience you portray on this forum...
 
Last edited by a moderator:
Unanitia mashaka kwa kauli hizi...nitashangaa ikiwa hushiriki ...
 
Mtu wangu take this...
If you can`t beat them join them.... in other words.... if you want peace talk to your enemy not your friend (Moshe Dayan).


😱Baaad boy!:sly:

By Paulo Sergio De Souz

mi ambacho ningefanya ni kuomba exclussive ticket to the show, halafu naangalia huyo 'Miss Steal your wife' anachofanya ili nijiongeze na kumrudisha Missus kwenye himaya. Ikishindikana hiyo, i'll join them and we make the awesome 3-some, cuz if you can't beat them...you know the drill. Option nyingine ni kukubali tu matokeo na kuvunja ndoa.


​
 
Hii imekaaje au anatakiwa kuongeza ukubwa/urefu wa dushelele.
 
If you can`t beat them join them.... in other words.... if you want peace talk to your enemy not your friend (Moshe Dayan).


Thank you Boss, exactly what i'm tryna say. I woulda love to see how the HG dots her i's and crosses her t's to make the Missus switch teams.
 
Hii imekaaje au anatakiwa kuongeza ukubwa/urefu wa dushelele.
hapana kumridhisha mwanamke sio ukubwa wa chololo😆😆 japo pia ukubwa unahitajika lakini hicho sio kigezo

unajua tatizo wanandoa hawazungumzi na wenzao mpaka tatizo litokeee ni rahisi kujua mpenzi wako ana ridhika na nini kama unazungumza nae mara kwa mara
 
Eti wanasema kuwa gay ni hali mtu anazaliwa nayo, au mazingira aliyokulia!!! unaweza kweli kufikiri kuwa na intimacy na mtu wa jinsia yako?

Hapana,hiyo pia ni spirit!!
The problem is watu hawajua jinsi gani Lucifer anafanya kazi!

Jmos tu church kuna kaka wakati wa maombi alilipuka na hiyo spirit,mkaka mzuri lkn dah!!!
 
kwa unafiki wenu wanawake huwa hamsemagi bana.michepuko ndo huwa inafungukaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…