PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,996
- 2,017
Kwanza ilianza kama masihara. Mshikaji wangu jirani (Tulikuwa tumepanga nyumba 2 ndani ya geti moja), alimchukua na house girl aliyepewa na workmate wake akawa msaidizi wa ndani kwao.
Kijiweni tulimtania kwa siku nyingi sana kwa sababu mbili kwanza ye (mwanaume) ndo analeta house girl badala ya mkewe. Pili ni house girl mwenyewe sasa.
Yani ni mzuri kisha anavaa kama binti ambaye huwezi dhani ni hg (Japo ni kwa heshima). Hadi nikashangaa wife wake alikubalije hiyo issue. Ila for what I gathered aliyamudu vyema tu majukumu yake na alikuwa na adabu.
Mshkaji akaniambia siku moja kuwa mkewe kabadilika na hampi haki yake kama zamani. Nikamwambia tu kimasihara kuwa anakupimia ajue kama wewe na hg wako hamtofanya chochote.
Sasa mwanzoni hatukuwa serious ila baadae jamaa akawa anagombana na wife wake. Basi tukashauriana tukafikia wazo la uwezekano wa mkewe kuchepuka.
Jamaa fuatillia simu na aina zote wa mawasiliano ya mkwewe bila bila. Mkewe jamaa kuna kipindi walifungua duka akawa mda mwingi yuko hapo.
Jamaa akawa hadi anakodi watu wamfuatilie, lakini wife wake hakuonesha hata dalili. Nikamshauri jamaa hii issue tumuulize wife wangu anaweza kusaidia.
Wife akatupeleka kwa daktari mwenzie bingwa wa magonjwa ya kina mama, akamcousel jamaa jinsi ya kuhandle hiyo issue. Bado matokeo mazuri hayakuwepo.
Wife akampeleka huyo mkewe kwa tiketi ya cervical and breast cancer check up, wakashauriana pia mambo hayo ila huyo mkewe akasema hata tatizo.
Na daktari alipomchunguza vizuri akagundua kuwa (maneno yake) "It seems she is getting it and really good". Manake anafanya kwa kiwango cha Zaidi ya kuridhisha.
Basi tukawa convinced anachepuka na yuko vizuri ajabu kucover track zake. Basi jamaa kawa strict kwenye follow up ila hakuambulia chochote.
Tukasahau hizo mambo na jamaa akaanza kuchepuka, ajabu nyumba ikawa na Amani. Sasa kuna kupindi nikawa likizo na nikawa nashinda home nafanya kazi zangu binafsi.
Sasa shemeji yangu yule akawa anarudi sana home, hadi nikaona hayuko serious na kazi. Redio ya kwao ikawa inafunguliwa kwa sauti hadi nikawa na gonga kwao kuomba wapunguze.
Hadi nikawa naona kama anachukia. Kuna mara nikahisi huwa kuna mambo yanafanyika kwao. Nikajakucomfirm baada ya kusikia sauti za mahaba toka kwao.
Nikawa najiuliza, huyo mwanaume anayechepuka naye anaingiaje? Na kwanini house girl haoneshi kujali? Nikahisi labda huyo housegirl ndo anamtengenezea mke wa jamaa mazingira kisha ndo anakuja home.
Basi nikaongea na mshkaji tukamdaka house girl juu kwa juu tukamtight aeleze kuna nini kwao mchana. Alichofanya yule dada nilishangaa.
Akatupiga biti kwamba kwanza kumtight ni kumnyima haki zake kama mfanyakazi na atawaeleza wake zetu tunamtaka! Yani jamaa alitamani kumpiga sema ikawa ni bar na watu watatuelewa vibaya.
Jamaa kwa hasira akamfukuza housegirl na kumtight mkewe. Mke kuzidiwa akakiri vitu ambavyo ni shida!
Akasema mwanzoni huyo msichana alikuwa anajituma vizuri na kuwa na adabu hivyo hakupata shida kukaa naye. Kuna siku akakuta pasi imechomekwa na kuachwa on juu ya nguo na ikaungua.
House girl alikuwa ananyoosha nguo akaagizwa kitu na hivyo akaiacha hivyo. Kwa hasira akamshika ili ampige. House girl akawa kama anaresist arrest.
Basi katika kushikana akawa (shemeji) anabadilika kwa sababu anashikwa pabaya. Baada ya muda ikawa wanashikana badala amuarrest na kumpiga. Hakujua anafanya nini mpaka baadae anajikuta wanafanya mambo mabaya na house girl! Basi ndo hivyo ikawa ndo tabia yao.
Ugomvi haukua mkubwa kwasababu kiajabu jamaa hakummind sana mkewe. Nikashauri tunaojua tuwe sisi sisi issue iishe wasameheane. Basi house girl kafukuzwa na wanandoa wakajitahidi kurejesha moto wao. Mwanzoni ikawa vizuri tu, ila taratibu ikarudi tena kubaya.
Jamaa akapanik, kipindi hicho hapakuwa na mtu mwingine kwao. Hakufuatilia sana akagundua wife ana simu asiyoijua na anawasiliana na mtu tunayedhani ni huyo house girl. Na wanatumiana picha mbaya na kuchat kiushetani kabisa! Jamaa kadata sasa hivi na hata hajui afanyeje.
Kuna siku wife wake akanitafuta akilia. Ananiambia hakutaka awe hivyo na huwa wanagombana na yule house girl lakini mwishoni hujikuta huko. Kiukweli wote tunaofahamu hatujui dawa ya kitu hicho na sidhani kama nchi yetu ina kituo cha kushauri watu kama hao mi naona labda madawa ya kulevya tu ndo viko.
Any advice please!