dropbox ni salama, sijui mtu ambaye atakua anakutarget wewe kama atakua na utaalam wa kuweza kuchakachua dropbox na kuiba data kirahisi hivo... mara nyingi attacks kwa hii mitandao hua inafanywa kuiba tu accounts in massive amounts sio kumtarget moja moja, kama ni mojamoja wanatumia tecnhniques yingine mfano kukutumia virus inayorecord kila key unayobonyeza, au wengine watakutarget kwa kutumia inaitwa phishing na hii ndo wengi naona hua wanakamatwa hapa, sijawhai ijaribu kwa mtu akaishtukia..