Hivi ukiondoa Dini, kuna umaana wowote wa kua na mke?Kwa mtazamo wangu ukiwa hujaoa kidogo unakua na uburu wa kufanya chochote, hutakua na pingamizi la muda gani urudi nyumbani kwako, tofauti na mumu au mke wa mtu unaishi kama vile unaidhi na wazazi wako ukichunguza kwa makini asie na mke anaweza kufanya yote au na zaidi ya yule alie na mke.