Kuna umuhimu wa Mahakama?

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
kama serikali kila tatizo (mikutano na maandamano ya CHADEMA, wamachinga etc) lita suluhisha kwa kutumia polisi (FFU etc), kuna umuhimu gani wa mahakama?

kwa nini kama kweli wanakiuka utaratibu wasiwafungulie kesi washitakiwe kwa FINE au KIFUNGO cha jela?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom