KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 3,401
- 4,345
Hii ni mwanza, watu walienda kuvamia kiwanda cha magodoro eneo la machinjioni, wakavunja geti wakaingia ndani, kuna baadhi wakachomoa waya ya gesi, ikalipuka, aisee watu makumi na makumi waliungulia humoWapi hii?
Maandamano ni haki ya kila raia, lakin ni jinai au kosa kubwa maandamano hayo yanapobadilika na kuwa chanzo cha kuvunja haki za wengine..kama vile kuvamia maduka, kuchoma vituo vya mafuta, magari pkpk na nyumba za watu..Lkn kuandamana si kosa.
Lile tukio la wale 12 waliouawa kibanda umiza walikutwa wanaangalia game ya Arsenal hapo Mwanza uliliona?Hii ni mwanza, watu walienda kuvamia kiwanda cha magodoro eneo la machinjioni, wakavunja geti wakaingia ndani, kuna baadhi wakachomoa waya ya gesi, ikalipuka, aisee watu makumi na makumi waliungulia humo
Tupo mwanza tulilifahamu, ni kata ya isamilo, mjimwema pale tarazo..Lile tukio la wale 12 waliouawa kibanda umiza walikutwa wanaangalia game ya Arsenal hapo Mwanza uliliona?
Hivi wale 12 ilikuwaje wakafa vile?Tupo mwanza tulilifahamu, ni kata ya isamilo, mjimwema pale tarazo..
Lakini kwenye magodoro ni zaidi ya watu 50 waliungulia humo
Busara inanituma kunyamazaHivi wale 12 ilikuwaje wakafa vile?
Hii ni mwanza, watu walienda kuvamia kiwanda cha magodoro eneo la machinjioni, wakavunja geti wakaingia ndani, kuna baadhi wakachomoa waya ya gesi, ikalipuka, aisee watu makumi na makumi waliungulia humo
"Kwenye godown la magodoro waandamanaji wakajipiga moro wao wenyewe "
Sio poa.
Kuna akili inaniambia ni kafala lilikuwa limeandaliwa na huyu shetani aliombwa idadi kubwa sana ya watu ndo maana alimua kuwafata watu hadi majumbani
Mfano katoro na Geita,watu walikuwa hata hawana huo mzuka mara ghafla pakanuka na pakanuka haswa hasa hasa geita
Katoro watu walikuwa wametulia jamaa mmoja akajipitisha na baiskel ya mitano tena na kuanza kuwazingua watu kwa kuwaoneshea ishara ambazo sio ndo pakanuka
Geita watu wameingia barabaran jioni ya tarehe 29
Kwanza huu ujasiri umetokea wapi!,aiseee uchawi upo ni watu walikuwa wamepandishwa mapepo
Kwenye godown la magodoro waandamanaji wakajipiga moto wao wenyew
Mwanzaπ viwanda vimelipuka hivi na bado wanafanya doria ya kusaka magodoro yao wametangazia wananchi kuyarudisha kuwa wameonekana kwenye camera! Ole wake ukutwe nalo ndani na risit huna!!Wapi hii?
hapa kuna kada wa CDM alikuwa akipiga simu anasema bonyeza 5 na wa kule naye anamwambie abonyeze 5, ni IT kumbe wana jinsi ya kublock wasifatiliwe bwana namm nikawa naminya hiyo 5 nafunguka kama aljazeera!π, TCRA wanaujua ukweli wakiamua kufatilia mawasiliano ya hizo siku nchi nzima tutakuwa wahaini,
Pathetic theory, ameshindwa hata ku proveKuna ukweli wowote hapa wakuu hii nimekutana nayo leo kwenye comments kwenye uzi wa Buyobe
Kwamba kuna watu walikuwa wanapita hasa kwenye maeneo yaliyopoa kuwaamsha watu waingie road ila wao walikuwa hawaguswi wala kukamatwa
View attachment 3498550
Hiyo nilikuja kuijua badae nimeshamwaga shangwe la kutosha, kumbe 5 ndo block yaohapa kunqkada wa CDM alikuwa akipiga simu anasema bonyeza 5 na wa kule naye anamwambie abonyeze 5, ni IT kumbe wana jinsi ya kublock wasifatiliwe bwana namm nikawa naminya hiyo 5 nafunguka kama aljazeera!π
Songea, Njombe.Kuna mkoa wanajeshi walipita kushawishi raia waandamane kuwa watawalinda. Hata Dodoma pia.
Kumbe ni majoka ya kibisa jeshi zima makanali uchwara. Jeshi gani linatwekwa na Mafwele na kuchapwa viboko matakoni.
Mwanzaπ viwanda vimelipuka hivi na bado wanafanya doria ya kusaka magodoro yao wametangazia wananchi kuyarudisha kuwa wameonekana kwenye camera! Ole wake ukutwe nalo ndani na risit huna!!