Kuna ukweli wowote katika hili?

Tope

Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
74
Reaction score
61
Salam wana jamvi.Je kuna ukweli wowote kwenye swala la vikoba kutoka Reginald Mengi foundation kuhusiana na mikopo wanayotoa? Au ni wahuni wachache wanataka kujivunia fedha za wasio na uelewa?
 
Sisi wengi wetu hapa pia hatuna uelewa juu ya unachokizungumzia...elezea vizuri mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…