Kuna ukweli wowote hapa?

[emoji23][emoji23]Wanaume wa dar mkuje [emoji16]
 
Unajua pale nguzo ya umeme kwa chini ghafla linapigwa shuti sasa ndio unabaki kujiuliza mbona kanzu imelegea?
Muda huo feni inazunguka mpaka kizunguzungu ndio pochi inadondoka sasa kwa watu wengine hujui. Kwa kisigino hapo mdundo tu tena bila hata chai ya asubuhi, utaona ndezi tu wanapiga mluzi.
Ile anaparamia tu, wingu jekundu hiloooo. Sasa hapo ndio unabaki unajiuliza inakuaje?
 
Anamshtakia bwana wake sehemu sahihi. Ukuje hapa kwa mnyamwezi wa Butihama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…