Kuna ukweli wakuu hapa?

moses musa

Senior Member
Apr 25, 2017
164
97
Mtu mmoja alisema /aliniambia ,ukisex na mtu mwenye maambukizi ya ,ukimwi,kaswende,kisonono,nk,kipimo ni siku 3 kwenye uume lazima mapele madogo madogo yajitokeze kama umepatwa na gonjwa mojawapo,naomba kujua !!!
Nawasubiri wenye ujuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom