Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,874
- 3,306
Kuna tarifa zinasambaa kwenye mitandao haswa wasap kuwa kwa watumishi wote walio kwenye ajira,kwa wote ambao watakuwa wana mipango ya kwenda kujiendeleza hasa wanaoenda kusoma shahada (degree) ya kwanza na kuendelea wachukue likizo ya bila malipo na pia mtumishi atakapokuwa shuleni/masomoni mshahara utafungwa mpaka atakapo rudi kazini.
Hii habari imenishitua huku kuna taarifa nyuma zilizagaa kuwa mfanyakazi atakayechukua likizo ya bila malipo atakuwa amejitoa kwenye ajira......
Wakuu hili swala limekaaje?
Hii habari imenishitua huku kuna taarifa nyuma zilizagaa kuwa mfanyakazi atakayechukua likizo ya bila malipo atakuwa amejitoa kwenye ajira......
Wakuu hili swala limekaaje?