Mike m
Senior Member
- May 8, 2014
- 123
- 120
Hodii........wana mmu,jamani wazimaa?? Hamjambo na raha zenu za jumapili? kuku mgeni hakosi kamba mguuni ndo nimekuja humu hivi juz kati,natumaini mtanikaribisha kwa mazito matatu,twendee wah,wah,wah! ewaa...ahsante!simtambui hata mmoja humu lakin natumaini,tutafahamiana taratibu,kwani watu hufahamiana pale wanapokutana.
Wanasema penye wengi kuna mengi,navutiwa kuingia humu na swali moja tu la ukaribisho,
JE,nimewahi kusoma haya magazeti pendwa,na huwa nakutana na tangazo linalohusu kuongeza ukubwa wa umbile la mwanaume,kweli dawa hizo zatibu? na madhara kwa mtumiaji je? ninaamini kuuliza si ujinga,na ninaamini wote tutajifunza kipitia hapa....asanteni.