Kwamba kwa Mwanaume kama ukiona Mjusi mdogo anakudondokea mara kwa mara au anakatisha karibu nawe basi jua ya kuwa kuna Mwanamke umemjaza / umempa / umempachika Mimba au Ujauzito siku kati ya 7 au 14 zilizopita.
Pia kama ukiona Wewe kila mara ukikutana na Paka wala hakusogelei na hakulilii basi jua kuwa una Roho mbaya sana na ni Mchoyo mno ila ukiona anakusogelea karibu, anajikusisha nawe na anapenda kucheza nawe mara kwa mara basi ni dalili ya kwamba una Roho nzuri, Mkarimu, siyo Mchoyo na Muungwana pia.
Nawasilisha.