Ni kukosa maarifa pale unapoamua kumuhusisha Mungu (nasema hivi kwa kumention ulimwengu wa roho uliousema) na petty issues za maisha
Mungu hayuko concerned na every single details za yale tunayoyafanya..but rather katika yale yenye impact katika uhusiano wetu na Yeye
Yafaa labda tujiulize, je. mwanamke kavaa wigi ili iweje?..kama ni kwa lengo la kuwanasa wanaume wenye kupenda wanawake wenye nywele mithili ya wigi alilovaa hapo kuna tatizo...lakini kana (as in the case of Migiro) kavaa ili tu awe smart then tatizo lipo wapi?
Ukiwaza kwa mtiririko huo utafikia kusema kunyoa nywele ni dhambi maana unataka uonekane una nywele fupi wakati Mungu kakuwekea nywele zinazorefuka
We should grow up in thinking!!!!