Kuna uhusiano wowote uliopo kati ya tendo la ndoa na kuzimia?

Rasokauzu

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
518
301
Habari,

Niingie moja kwa moja kwenye mada bila ya kuooteza muda. Nimekuwa nikisikia kwamba mwanaume akishiriki tendo la ndoa hali ya kuwa ana njaa kunauwezekano mkubwa sana akazimia.

Vilevile nimesikia kwamba kuna wanawake ambao huzidiwa utamu sana wakati wa tendo la ndoa hupelekea mpaka kuzimia.

Je kuna ukweli wowote juu ya hili?
 
Habariiii
Niingie moja kwa moja kwenye mada bila ya kuooteza muda.....Nimekuwa nikisikia kwamba mwanaume akishiriki tendo la ndoa hali ya kuwa ana njaa kunauwezekano mkubwa sana akazimia.....Vilevile nimesikia kwamba kuna wanawake ambao huzidiwa utamu sana wakati w tendo la ndoa hupelekea mpaka kuzimia.
Je kuna ukweli wowote juu ya hili
Hata biology ya sekondari haijakusaidia? Umebaki njia panda mkuu....
 
Mimi niwe na njaa au niwe nimeshiba, niwe kwenye mood au off mood...

Mwendo ni ule ule, speed ni ile ile... Kila kitu depends on how you tune your mind.


Cc: mahondaw
Aaaaaah waaap! Njaa mnaijua mnaisikia na tendo la kutiana wakat mwingine km mashindano ya mechi ya arsenal na Man U tusidanganyane bhanaaa
 
Back
Top Bottom