Kuna uhusiano wowote uliopo kati ya tendo la ndoa na kuzimia?

KABALEGA

Senior Member
Jul 18, 2017
165
225
Daaah mke wangu mm nikisha piga bao moja tuu hataki tena , anadai hana hisia kbs na amechoka , yani najiuliza tatizo ninini
 
mo effect

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
563
1,000
Habari,

Niingie moja kwa moja kwenye mada bila ya kuooteza muda. Nimekuwa nikisikia kwamba mwanaume akishiriki tendo la ndoa hali ya kuwa ana njaa kunauwezekano mkubwa sana akazimia.

Vilevile nimesikia kwamba kuna wanawake ambao huzidiwa utamu sana wakati wa tendo la ndoa hupelekea mpaka kuzimia.

Je kuna ukweli wowote juu ya hili?
Endelea kusikia ivo ivo ongeza na sauti
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,524
2,000
mi ninachojua wengi hufa kabisa, baada ya kutumia vinywaji kama redbull na vingine visisimuavyo na kutaka kuonekana wakali lile eneo, wanawake, aisee hawa wakipata walichokowa hawajawahi kupewa hiyo hutokea sana, ishanikuta si chini ya mara 7 hv, mara ya kwanza nikajua mtoto wa watu kafa...ndoo za maji zilisaidia kurudisha amani ndani ya nyumba ile..kitambo mno kama ckosei was 2001, kipindi hicho nilikuwa mfungua blister mahili sana
 
Rasokauzu

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
520
500

Loh hatari sana sipati picha hayo mapigo ya moyo yalivyo badilika gafla ni mwendo wa 160bpm
 
Others

Senior Member
Oct 22, 2017
190
500
Uhusiano upo mkubwa sana.

Hasa ukizingatia kuzimia kunasababishwa na nini? = Kiasi cha Damu stahiki kukosekana/kupungua kwenye ubongo. Sasa haijalishi wewe ni jinsia gani uwe na Njaa, Stress au uwe katika hali yeyote ile na huku una 'Hondomola' hili swala likakutokea ni lazima UZIMIE.

Hakuna namna nyingine.
 
Black jew

Member
Sep 4, 2017
50
125
kuzimia inatokeaa kwa baadhi ya wadada kwan kama mtu unachelewa kukojoa kama dakika 60 na zaid basi ni rahisi kwake kufika kileleni na badae anazimiaa kabisaa tena anaweza hata kuzimiaa mara tatu mbili au tano so it depend ni jinsi gan we Mungu kakujaliaa kuchelewa kukojoa ila trust me its goood kwan unajua kuwa amefika na ukimaliza hapo huo usingizi wake anakuwa kama amekufaa.
Ila wanawake wanafaidi saaaaaaaana.
 
number41

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,018
2,000
Ukiona ivo usisha na afya yako pia unaweza ukawa na shida mali ata ukiwa na njaa unaweza piga game isipokua sio kama ukishiba
 
ager de don

JF-Expert Member
Oct 6, 2017
622
500
kuzimia inatokeaa kwa baadhi ya wadada kwan kama mtu unachelewa kukojoa kama dakika 60 na zaid basi ni rahisi kwake kufika kileleni na badae anazimiaa kabisaa tena anaweza hata kuzimiaa mara tatu mbili au tano so it depend ni jinsi gan we Mungu kakujaliaa kuchelewa kukojoa ila trust me its goood kwan unajua kuwa amefika na ukimaliza hapo huo usingizi wake anakuwa kama amekufaa.
Ila wanawake wanafaidi saaaaaaaana.
Mkuu 60 minutes??? For sure mwanamke wa hivi kumfikisha ule ushibe haswa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom