Kuna Uhusiano Gani Wa Kichwa Kikubwa Na Kutokuwa Na Akili?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Imegundulika Kuwa Watu Wengi Wenye Vichwa Vikubwa Kuliko Kawaida au Wastani Wake Uwezo Wao Wa KUFIKIRI Ni Mdogo Mno Kuliko Wale Ambao Vichwa Vyao Ni Vya Kawaida.

Mawazo Yangu Nilidhani UKUBWA Wa KICHWA Cha Ubinadamu Basi Ndiyo UWINGI Wake Wa Uwezo Wa KUFIKIRI Kumbe Imekuja Kujulikana Kuwa Si Kweli Na Badala Yake Ni Kinyume Chake.

Naomba Wale WATAALAM Wa Saikolojia Na Maumbile Ya Mwanadamu Waje Watusaidie Kwani Kuna Watu Fulani Nataka Nikipata Majibu Ya Hii Kitu Niwalinganishe Nayo Ili Niweze Kujiridhisha.

Binafsi Sikubalini Na Hii Kitu Ila Kama Nikiaminishwa Hapa JF Na Wabobezi Wa Haya Masuala Basi Sitakuwa Na Jinsi Zaidi Tu Ya Kuamini Na Bahati Mbaya Sana Hata Kichwa Changu Nikijiangalia Binafsi Katika Kioo Kuna Wakati Nakiona Ni KIKUBWA Hasa Pale Nikiwa Na NJAA Na Kuna Wakati Nakiona Kama Vile Ni Kidogo Pale Ninapokuwa NIMESHIBA.

Msaada Tafadhali.
 
Wakati wa njaa inawezekana unatumia tumbo kufikiri ndo maana kinakuwa kikubwa na ukishiba unatumia ubongo kufikiri ndio maana unakiona kidogo.
 
Huu usayansi Uchwara Huu.. Juzi hapa Mlisema Wenye Vichwa Vikubwa Wana SuperCoiling ya Ubongo Kwahiyo wana Akili... Leo Mengine
 
Kuwa na akili au uwezo wa kubambanua mambo kunategemea vitu vingi, malezi, shibe ya uakika, mitaala ya elimu pamoja na waalimu wanajielewa, bila kusahau akili ya kuzaliwa nayo, (genius)
Kamwe maumbile ya mtu ayabainishi uwezo wa akili ya binadamu,
 
Back
Top Bottom