ZirlovimovicZirkov
JF-Expert Member
- Sep 3, 2025
- 320
- 542
Rudia kusoma alafu jitahidi kuelewa. Mfano nawezaje kumchukia mtoto wa chini ya miezi sita ambaye Sina undugu nae wala shida nae?Kwahiyo ukimchukia mtu anafariki
Unanichokozaโฆ kwanini mimi?Ngoja aje binti kiziwi akupe muongozo.
Mbona ameeleweka tu,au nyie ndio hamuelewiFupisha report yako, unajielezea sana huendi kwenye hoja ya msingi
Ukimaliza kusoma njoo na ushauri Sasa, Report ndio hiyo inamaelezo mengi kweli.Fupisha report yako, unajielezea sana huendi kwenye hoja ya msingi
Mkuu miili yetu huwa ina ushirikiano mkubwa sana na mazingira yetu. Kuna watu ambao ni highly sensitive kwenye nishati. Mtu anapougua sana au kufika mwisho wa safari yake, biologically energy level yake huwa inashuka kwa kasi sana.
Kwa sababu wewe una ile trauma na phobia ya kifo tangu utotoni, akili yako itakuwa inasoma hiyo hali mapema kama danger signal. Kinachotokea ni automatic reflex action ya mwili wako kujitenga ili kujilinda usipate maumivu.
Yani mfumo wako wa ulinzi wa mwili ndio unafanya kazi yake. Work on your phobia first, mengine yote yataisha.
Nasema kwa asilimia mia huwezi kubadilisha jambo,kwasababu uhai na kifo ni kazi ya Mungu pekee, wewe umepewa zawadi ya kuhisi energy inayokuzunguka,ni kama vile wanasema paka nao wanajua kama kuna mtu anakufa muda si mrefu kwa yule ambaye anafugwa na watu wake,anaweza kuja kukaa karibu na wewe kwa unyonge sana,kwa siku kadhaa halafu baadae unasikia mtu kavutaAsante mkuu hapa nimekuelewa, kiasi Fulani naweza kukuelewa ulipohusianisha na energy maana binafsi nikikaa pekee angu kwa muda mrefu huwa naweza kufeel Kila kitu.
Mfano, ukificha kitu afu niwe nakitafuta bhasi Huwa naenda exactly to the point na nakiona au labda mtu akiwa anahitaji kitu huwa naenda kuchukua nampa mpaka mwenyewe anashindwa kuelewa nimejuaje.
Kubwa zaidi imenitokea kwa watu zaidi ya watano ambao nakutana nao katika mazingira Fulani na nawambia kitu wanachotakiwa kufanya na wanafanikiwa.
Hivyo vyote hapo juu huwa naamini ni energy tuu ambayo huniwezesha kutambua mazingira na Nini nifanye kwa mtu aliyepokaribu.
Turudi kwenye maada, mfano wa huyo mtoto mchanga ni kwamba tulikua tunasafiri kwenye bus Mimi nipo siti ya nyuma alafu mtoto, baba na mama yake wamekaa siti ya mbele bhasi baba wa mtoto alikua akimnyanyua yule mtoto tunakua tunaonana na mtoto uso kwa uso namimi nilikua nafanya kama kucheza na yule mtoto mfano nachezesha kope na vitendo vingine kitu ambacho kilikua kinamfanya mtoto afurahi, Sasa baba wa mtoto aligeuka nyuma akaniangalia akaniambia yaani mtoto anachezea miguu kama anataka kukukimbilia. Tulivyofika safari tulikua tunaenda kambi baba mtoto alijaribu sana kumleta yule mtoto karibu namimi ili japo nimshike lakini moyo wangu ulikua unagoma na baadae nikaanza kumkwepa lakini baada ya kumaliza kambi Mimi nilienda kwenye biashara zangu na baada ya miezi miwili nilisikia katoto kamefariki,๐
Swali langu ni Je! Ningembeba yule mtoto angeendelea kuishi? Hapa ndio napata maswali zaidi kwamba nikichukua hatua nyingine naweza kubadilisha jambo?
Upo sahihi mkuu hasa hapo kwenye telepathy mara nyingi jambo hilo huwa linanitokea pia hasa kwa mtu ambaye ninabond nae nzuri,Kwa upande wangu kwanza naomba kama huyu ambaye unamdhania huenda atakufa soon,akifa naomba utupe mrejesho kwenye uzi huu,nataka kujua ukweli zaidi juu ya hizi hisia zako
Lakini pili ni kweli kuna watu wana nguvu mbali mbali ambazo wamejaaliwa kuwa nazo ,kuna ile inaitwa telepath ile hali ya mtu kuwasiliana kihisia au kuhisi jambo fulani linamtokea mtu fulani ambaye upo mbali nae na kweli baadae inakuwa hivyo
Mfano binafsi,nikimkumbuka mtu basi ujue nae ananikumbuka,mara nyingi najisikia kumpigia mtu simu unakuta muda si mrefu ananipigia kama sio leo basi ujue kesho,na nikimwambia mtu huyo ujue nilitaka kukupigia ananipiga madongo kwamba we muongo umeona nimekuchek ndio maana unasema hivyo,mpaka now naamua kupiga kimya tu
Juzi kati tu kama siku tano au sita nimemkumba mama yangu,kila nikisema nimchek mara limetokea hili nasahau,yeye ndio akanipigia,nikamwambia ujue mama toka juzi nimekukumbuka nasema nakupigia mara najissahau,akaniambia hata mimi toka majuzi nimekukumbuka kweli mwanangu
Kwahiyo ni nguvu tu ambazo kila mtu amejaaliwa kuwa nazo
Mkuu hata kama ungembeba, kisingebadilika kitu. Na huwezi kubadilisha kifo cha mtu kwa kuchukua hatua mbadala, kwa sababu wewe sio chanzo. Hiyo intuition yako itumie kuwasaidia walio hai kama unavyofanya sasa hivi, lakini ukiona inakuletea woga na kujitenga, jua hiyo ni phobia yako ya utotoni ndiyo tatizo haswa.Asante mkuu hapa nimekuelewa, kiasi Fulani naweza kukuelewa ulipohusianisha na energy maana binafsi nikikaa pekee angu kwa muda mrefu huwa naweza kufeel Kila kitu.
Mfano, ukificha kitu afu niwe nakitafuta bhasi Huwa naenda exactly to the point na nakiona au labda mtu akiwa anahitaji kitu huwa naenda kuchukua nampa mpaka mwenyewe anashindwa kuelewa nimejuaje.
Kubwa zaidi imenitokea kwa watu zaidi ya watano ambao nakutana nao katika mazingira Fulani na nawambia kitu wanachotakiwa kufanya na wanafanikiwa.
Hivyo vyote hapo juu huwa naamini ni energy tuu ambayo huniwezesha kutambua mazingira na Nini nifanye kwa mtu aliyepokaribu.
Turudi kwenye maada, mfano wa huyo mtoto mchanga ni kwamba tulikua tunasafiri kwenye bus Mimi nipo siti ya nyuma alafu mtoto, baba na mama yake wamekaa siti ya mbele bhasi baba wa mtoto alikua akimnyanyua yule mtoto tunakua tunaonana na mtoto uso kwa uso namimi nilikua nafanya kama kucheza na yule mtoto mfano nachezesha kope na vitendo vingine kitu ambacho kilikua kinamfanya mtoto afurahi, Sasa baba wa mtoto aligeuka nyuma akaniangalia akaniambia yaani mtoto anachezea miguu kama anataka kukukimbilia. Tulivyofika safari tulikua tunaenda kambi baba mtoto alijaribu sana kumleta yule mtoto karibu namimi ili japo nimshike lakini moyo wangu ulikua unagoma na baadae nikaanza kumkwepa lakini baada ya kumaliza kambi Mimi nilienda kwenye biashara zangu na baada ya miezi miwili nilisikia katoto kamefariki,๐
Swali langu ni Je! Ningembeba yule mtoto angeendelea kuishi? Hapa ndio napata maswali zaidi kwamba nikichukua hatua nyingine naweza kubadilisha jambo?
Useme kabisa ni moto au baridi ili tukupoozee au tukuchemshie.Chai
Sasa unataka kufanya nini? Kwamba umueleze kuwa unakaribia kufa? Je utaeleweka? Au unataka kuitwa mchawi kwamba ulisema jamaa atakufa na kweli akafa?Turudi kwenye maada hapo mkuu unaposema tusubiri jambo litokee kwa huyu mtu wangu wa karibu kwangu inakua ngumu ndio maana nimekuja kwenye jukwaa ili kuweka kupata mawazo mbadala.
Duuh! Sawa mkuu najaribu sana kukuelewa.Nasema kwa asilimia mia huwezi kubadilisha jambo,kwasababu uhai na kifo ni kazi ya Mungu pekee, wewe umepewa zawadi ya kuhisi energy inayokuzunguka,ni kama vile wanasema paka nao wanajua kama kuna mtu anakufa muda si mrefu kwa yule ambaye anafugwa na watu wake,anaweza kuja kukaa karibu na wewe kwa unyonge sana,kwa siku kadhaa halafu baadae unasikia mtu kavuta