Kuna uhusiano gani kati ya Uingereza na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna uhusiano gani kati ya Uingereza na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Jun 17, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wakati mwingine inabidi tuirudie historia ili kutatua matatizo yanayotukabili hivi sasa.
  Anyway ,

  Ukiuangalia kiundani muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika utaona ulikuwa ni kwa matakwa ya Mwingereza, ambaye alikuwaanazitawala nchi zote mbili kabla ya uhuru.

  Zanzibar ilipata uhuru wake Desemba 1963 na kuwa Jamhuri January1964.
  Miezi mitatu baadae, yaanzi April 1964 Zanzibar ikaungana naTanganyika kuunda Jamhuri ya muungano wa Tanzania (Mwaka moja baada ya Zanzibar kupata uhuru na miezi mitatubaada ya kuwa jamuhuri).
  Hivyo basi bila Propaganda za siasa wala kumungÂ’unya maneno utaona kunauhusiano wa moja kwa moja kati ya matakwa ya mwingereza na muungano, na muunganohauna uhusiano na matakwa ya waZanzibar wala waTanganyika, ndio mana wanzanzibari wanaulalamikia muungano na waTanganyikana viongozi wa serikali wamekaa kimywabila kutoa ufafanuzi wa kina na hoja zamsingi .
   
 2. B

  Bubona JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unaweza kuwa sahihi ila umeshindwa kuonesha ni vipi Mwingereza anahusika katika Muungano. Namaanisha, hoja yako haujaipa nguvu!
   
Loading...