Sawa mkuu na zinatibu ugonjwammoja au ni tofaut?Kitu kile kile.
Ni sawa na..
Panadol na Paracetamol.
Uko sahihi kabisa mkuu, I think you are medical personnelDawa ni moja ..
Tofauti ni moja ina jina la biashara(brand name).
Nyingine ina jina la kisayansi(generic name).
Ila kuna tofauti kati ya predinisone na predinisolone.