Kuna tofauti ya Matamanio na Uhalisia wa jambo

Kuna tofauti ya Matamanio na Uhalisia wa jambo

allenbina

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
409
Reaction score
184
Vijana wengi wanatamani raisi ajaye awe EL na ndiyo maana wamepagawa na mahaba hadi kiasi cha kuishi wakiimba mioyoni na midomoni mwao kuwa EL ni raisi hata kabla ya upigaji wa kura tar 25 Oct...hayo ndiyo MATAMANIO.

Kwa bahati mbaya ya mwaka huu kwa vijana, mgombea uraisi anayeonekana kuingia na kuiteka mioyoni ya watu kwa kasi kubwa ni Dr. Magufuli na hii ndiyo UHALISIA.

Mwenye macho aambiwi tazama! Mungu ibariki Tanzania yetu!
 
Thanks sana kwa kuelimisha malofa wa Guinea Bissau!!
 
Back
Top Bottom