Kuna tofauti kubwa kati ya kufanya ngono na kufanya mapenzi

Hata mbwa anafanya ngono, kufanya mapenzi ni LEVEL nyingine kabisa ambayo hutamu isomeke UTAMU wake ni vigumu kuulezea kwa maneno 😋😋😋😋

Kufanya mapenzi mara nyingi inahusisha wapenzi haswa wanaopendana mfano mimi na mke wangu. Kufanya ngono mfano unapomnunua malaya pale mnafanya ngono ye yupo kipesa zaidi ndo mana hajali kurizishwa
 
Back
Top Bottom