Kuna tofauti gani kati ya computer science, IT na ICT?

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
660
Reaction score
600
Za mda huu wanajopo.
Naomba msaada wenu kwanza nijue tofauti ya computer -science
-IT
-ICT

Na pia nijue ktk hizo ni kozi gari ni bora na itaniwezesha kucheza vyema na mitandao kisha naomba mniambie ni chuo gani kinafundisha vyema kozi hiyo ngazi ya certificate?
 
kama toka utoton huna utundu na hayo mambo sikushauli hata ukasome,,,,,elimu ya bongo kumezeshana madesaa tuuuu .......utamaliza chuo unaweka vyet ndan tuuuu.....kama unaifeel kutoka moyon sawaa .....saiz huwez kunielewa ila siku ukimaliza ndo utaelewa
 
Naipenda sana hyo fani mkuu jitahid kunielekeza ambacho unahisi kitanisaidia kutimiza ndoto zangu
 
kama toka utoton huna utundu na hayo mambo sikushauli hata ukasome,,,,,elimu ya bongo kumezeshana madesaa tuuuu .......utamaliza chuo unaweka vyet ndan tuuuu.....kama unaifeel kutoka moyon sawaa .....saiz huwez kunielewa ila siku ukimaliza ndo utaelewa

huu ndo ukweli, theory nyingi vitendo hakuna.

watakulazimisha ukalili upate GPA nzuri hata kama huelewi maana unaogopa kusap.

namshauri ajifunze you tube kuna tutorial nzuri sana na atatimiza matakwa ya ndoto zake kwa huo muda wa miaka 2 bila kukaa darasani.
 
Bado hamjamuelewa Swali lake mfafanulieni IT na ICT.
 
Anayesoma IT anakuwa bora kuliko aliyesoma ICT
Ukisoma ICT unaweza kupata ajira zipi? na Je utakuwa na uwezo wa kutengeneza website za kila namna from scratch na kutengeneza APP za kila namna?
Bila kusahau na kale kaujuzi ka kuhack system unayoitaka
 
Tofauti yake labda majina, ila zinafanana yaliyomo (contents), ni kozi nzuri Kama unania toka moyoni mkuu. Kasome yeyote kati ya hizo
 
Ukisoma ICT unaweza kupata ajira zipi? na Je utakuwa na uwezo wa kutengeneza website za kila namna from scratch na kutengeneza APP za kila namna?
Bila kusahau na kale kaujuzi ka kuhack system unayoitaka
Kutengeneza website hata usiposoma hizo utaweza mkuu, tafuta jamaa yeyote anayejua akuelekeze au kakomae youtube
 
Za mda huu wanajopo.
Naomba msaada wenu kwanza nijue tofauti ya computer -science
-IT
-ICT

Na pia nijue ktk hizo ni kozi gari ni bora na itaniwezesha kucheza vyema na mitandao kisha naomba mniambie ni chuo gani kinafundisha vyema kozi hiyo ngazi ya certificate?
Mkuu kozi hizi zinafanana ila ndani ya kozi hizi kuna categories tofauti ikiwe website design, programming, network, n.k ila ukisoma kozi huwezi kuwa proffenal moja kwa moja nakushauri tafuta kimoja kati vitu vilokuwemo ktk IT au ICT ukasome km ni
CCNA networking
IT essentially
Website design
Programming n.k zipo nyingi sana
 
NAKUSHAURI NENDA UDOM, DIT AU MUST UTATIMIZA MALENGO YAKO
 
Ukisoma ICT unaweza kupata ajira zipi? na Je utakuwa na uwezo wa kutengeneza website za kila namna from scratch na kutengeneza APP za kila namna?
Bila kusahau na kale kaujuzi ka kuhack system unayoitaka
Elim yako mkuu ikoje?
Maana maswali unayo uliza ninawasiwasi na ubongo wako
 
Back
Top Bottom