Kuna tatizo mjamzito kula viporo?

Chokochoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2011
Posts
438
Reaction score
184
Hello jf doctors.

Mimi ni mjamzito nasikia kwa watu eti wajawazito hawaruhusiwi kula kiporo, je kama nikweli ukila unapata
madhara gani?

Tatizo lingine najitahidi kula matunda ipasavyo ila mbona napata choo kigumu sana?

Halafu choo napata baada ya siku 2 hadi 3 na bado kina kua kidichuu cha kushangaza nakula chakula kingi tuu nashiba ndii na maji nakunywa na juice nakunya, sasa sielewi hili ni tatizo au ni kawaida?

Jamani naombeni msaada kwani niko njia panda na wasiwasi kama ni tatizo lisije likawa kubwa
 
Mjamzito unatakiwa upate choo cha kutosha tena kilaini...tafuta matunda...hasa papai na parachichi.....kula viporo wanasema eti ukishajifungua utakuwa unatoa choo kingi sana.......
 
Mjamzito unatakiwa upate choo cha kutosha tena kilaini...tafuta matunda...hasa papai na parachichi.....kula viporo wanasema eti ukishajifungua utakuwa unatoa choo kingi sana.......
Huwa n maneno tu ambayo hayana mahusiano. Na mm niliuliza kwa mtaalamu wa afya sabab niliambiwa hayo hayo. Kuzaa jaman sio jambo dogo na ukizingatia hiyo n mifumo ambayo ipo karibu karibu, kule kujikamua kuna tosha kukuletea hiyo hali ya kupata choo na sio sabab ya viporo. Muhimu tu ni kwamba ukiwa mjamzito unatakiwa kuzingatia mambo mengi ikiwemo chakula. Kama huna haja ya kula kiporo ni bora kula chakula fresh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…