Kuna tatizo mataa ya Tazara (Mfugale point)

isky

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
884
Reaction score
738
Hi,

Kwa wale wanaotumia barabara ya Nyerere kuelekea Buguruni/Ubungo watanielewa kwa urahisi zaidi. Kuna taa inayoruhusu magari yakunjayo kuelekea Mandela road (Buguruni) kutokea barabara ya Nyerere taa hii huwa inawaka nyekundu hata wakati ambapo barabara iko huru kabisa na hakuna mtumiaji mwingine kwa mbele. Hali hii imekuwa ikisababisha foleni isiyo na sababu. Wahusika lioneni hilo
 
Kwani mkuu hiyo taa 24 hrs inawaka red?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…