KUNA TATIZO KATIKA PC.

TESRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
421
Reaction score
422
nina PC ni Advent ina tatizo la sauti ,kuna siku nilikuwa nacheki movie sauti sauti ilikata ghafla itabid nianze kutumia airphone .

nikawa nmetumia airphone kama mwez mmoja hiv lakin tatzo likaja jingine sauti ikaanza kutoka ya kukoroma kupitia hizo hizo airphone mpaka saiz ilo tatizo lipo..msaada wakuu tatizo ni nin au nipeleke kwa fundi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikwama ana kandamiza hii kitu....
 

Attachments

  • 3457a.jpg
    13.1 KB · Views: 12

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…