F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,994 Reaction score 24,905 Jul 15, 2017 #1 Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na mzungu fulani, mti mrefu kuliko yote Africa pia umegunduliwa juzi tu chini ya mlima huo na mzungu, na wiki iliyopita mzungu amegundua simba jike akimnyonyesha mwana chui!
Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na mzungu fulani, mti mrefu kuliko yote Africa pia umegunduliwa juzi tu chini ya mlima huo na mzungu, na wiki iliyopita mzungu amegundua simba jike akimnyonyesha mwana chui!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 15, 2017 #2 Yaani hata mimi sielewi mkuu
P Pricillah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 722 Reaction score 262 Jul 15, 2017 #3 Maoni yako ni yapi juu ya gunduzi hizo za wazungu kwetu?