Itakumbukwa kwamba Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014 ilipitishwa na Bunge mapema zaidi kuliko ilivyokuwa inafanyika hapo awali.
Kusudio la kupitisha bajeti mapema ilikuwa kuziwezesha wizara na Taasisi za umma kutekeleza mipango yake ya maendeleo kwa wakati mwafaka.
Hata hivyo,kusudio hilo linaonekana kama mchezo wa kuigiza.Wizara nyingi na Taasisi zake mpaka sasa hawajapata kile kilichopita kwenye bajeti na hakuna maelezo yoyote yanayotolewa ili wananchi waweze kujua tatizo hili la kitaifa.
Je,inawezekana ilikuwa bajeti hewa?Kama jibu ni ndio wananchi wamwajibishe nani kwa hadaa hii?Big Results Now ni ndoto ya mchana?Tujadili