haya mambo ya ku copy and ku paste picha za watu kutoka kwenye blogs nyingine na kuzipa titles za kipuuzi hapa JF, itabidi kwa kweli hili jambo ma moderator wa JF mlifanyie kazi.
tuambie ndug indume yene, picha hii ina kasoro gani kama sio uzandiki wako, wacha hivyo bwana.
threads za kugang'aniza hazikufai