Chloe O'brian
Member
- Dec 22, 2010
- 41
- 10
ni genuine au za kuchakachua??
HaswaaaaaaaaaHii ingependeza zaidi kule kwenye matangazo ya biashara.
Huku kwenye jukwaa letu tunapeana maujanja na links za kupata na kuchakachua hizo software
Mimi hapa kwa software hii nimeshindwa kabisa kupata keys zake baada ya kuisha muda wake wa trial. Nimejaribu kwenye torrents sikufanikiwa baada ya kukutana uso kwa uso na mabango ya akina Visa card na wezake! Software yenyewe ni "Novalogic's MIG-29 Fulcrum 1.01.00.14"Hivi kuna mtu aliye member wa jf bado tu ananunu software?
TUNAZO SOFTWARE MBALI MBALI AMBAZO TUNAUZA, KWA ANAYEHITAJI ANI-PM:
- ArcGIS DESKTOP 9.2
-ORACLE 11g ENTREPRISE EDITION
-CINEMA 4D v12
-PINACLE STUDIO 14 HD
-AUTODESK AUTOCAD V2012 MULTI WIN64
-SPSS 17
-ADOBE CS5 MASTER COLLECTION (PRODUCT ZOTE ZA ADOBE CS5)
NA NYINGINE NYINGI SANA, PIA ZIPO VIDEO KARIBIA ZOTE ZA TECHNOLOGY MBALI MBALI KUTOKA LYINDA NA VTC
WOTE MNAKARIBISHWA.......
inafanya kaz gan?Mimi hapa kwa software hii nimeshindwa kabisa kupata keys zake baada ya kuisha muda wake wa trial. Nimejaribu kwenye torrents sikufanikiwa baada ya kukutana uso kwa uso na mabango ya akina Visa card na wezake! Software yenyewe ni "Novalogic's MIG-29 Fulcrum 1.01.00.14"
inafanya kaz gan?
we wa wapi?ever heard of torrents?4shared, filecrop,na masite kibao tu ya kupakua masoftware? Move this thread plzTUNAZO SOFTWARE MBALI MBALI AMBAZO TUNAUZA, KWA ANAYEHITAJI ANI-PM:- ArcGIS DESKTOP 9.2-ORACLE 11g ENTREPRISE EDITION-CINEMA 4D v12-PINACLE STUDIO 14 HD-AUTODESK AUTOCAD V2012 MULTI WIN64-SPSS 17-ADOBE CS5 MASTER COLLECTION (PRODUCT ZOTE ZA ADOBE CS5)NA NYINGINE NYINGI SANA, PIA ZIPO VIDEO KARIBIA ZOTE ZA TECHNOLOGY MBALI MBALI KUTOKA LYINDA NA VTCWOTE MNAKARIBISHWA.......
Sitaki kuharibu biashara ila... copy software yoyote hapo juu na kuipaste ndani ya linki hiii. unakuwa umeipata bureeeeeeeeeeeeeeee!!!
FileCrop - Search and Download Rapidshare Megaupload and Hotfile Files
have fun
TUNAZO SOFTWARE MBALI MBALI AMBAZO TUNAUZA, KWA ANAYEHITAJI ANI-PM:
- ArcGIS DESKTOP 9.2
-ORACLE 11g ENTREPRISE EDITION
-CINEMA 4D v12
-PINACLE STUDIO 14 HD
-AUTODESK AUTOCAD V2012 MULTI WIN64
-SPSS 17
-ADOBE CS5 MASTER COLLECTION (PRODUCT ZOTE ZA ADOBE CS5)
NA NYINGINE NYINGI SANA, PIA ZIPO VIDEO KARIBIA ZOTE ZA TECHNOLOGY MBALI MBALI KUTOKA LYINDA NA VTC
WOTE MNAKARIBISHWA.......
hata kama ni pirated weye uza tu. ujue pia utawasaidia akina sisi , pangu pakavu nitilie mchuzi, maana hatuna internet ya maana. hata kama kudownload bure , 1GB ni buku tano.(kama tutatumia 400mb za 2500 za airtel bharti)Tatizo wabongo hamjazoea kununua spoftware, ukiambiwa software zinauzwa unajua ni pirated tu.