Kuna siri gani kwenye Kanisa Katoliki kuhusu Miracle Hunter?

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,822
Reaction score
2,329
Habari ya jumapili wana JF
kabla sijaileta hoja ya leo naomba kwanza wale ambao hawana interest na mambo ya dini ama hawapendi kujifunza mambo ya ziada huu uzi hauwafai wala hawatakiwi kuwepo hapa, wale wasioamini kuhusu Mungu huu uzi hauwafai
wale wanaona dini zao zimekamilika wala hawataki ziguswe basi pia huu uzi hauwafai.
Huu uzi hauwafai wote wenye personal interest na dini.Sasa naenda katika point yangu

Kunawatu wanaitwa "MIracle Hunter" hiki cheo anaweza kuwa nacho mtu yeyote mwenye elimu hiyo lakini nimeona sana kwa wale mapadre wanakuwa nayo hii kitu na sio kila padre ila ni few selective
Hawa majamaa kazi zao kubwa wanazokuwa wanadai wanazifanya inakuwa nikufuatilia mambo ambayo yametokea sio ya kikawaida kawaida katika maeneo yao.
NImewahi kushuhudia shuguli moja kule peramiho kwakweli ni mambo fulani kama uganga kabisaa lakini unakuta wanatumia vitu ambavyo ni vitakatifu(kwa madai yao)mfano msalaba, maji ya baraka na baadhi ya sala(spell)

Kilichonifanya kuwa interested kuwajua hawa watu nikuwa kwa mara ya kwanza nilibumiana nao peramiho tena wakiwa wapo wanawajibika(katika pitapita ndio tukajikuta tuko eneo la tukio) walikuwa ni mapadre watatu na walikuwa na wazee wawili na mwana mama mmoja ambaye alikuwa anashida na wanamfanyia ibada fulani alikuwa kafunikwa na shuka fulani rangi ya kaki lina michoro ila sikuelewa ile michoro vizuri maana tulikuwa umbali kidogo na nilijua ni mwanamke sababu ya sauti yake(mimi nilijua anamapepo wanamuombea)lakini utendaji ulikuwa ni tofauti
Kwanza zile sala zao walitumia kilatin na kiingereza(na miongoni mwao padri mmoja alikuwa ni mtu mweusi kabisa) chakushangaza zaidi nikuwa sikusikia neno Jesus katika sala zao za kiingereza , ila ilikuwa ni baadhi tu ya majina ya malaika na commanding language zao binafsi kama "In the name of the Lord...."hayo maneno nayakumbuka vizuri sana nk lakini hawataji jina la Yesu
baadaye tukiwa tunashangaa pale kuna mtu akaja nyuma yetu tuliposimama
kugeuka alikuwa ni padre mwingine akatuambia tuondoke maana tunaweza kudhurika, nilipoondoka ndio katika pelelezapeleleza nikajua wanaitwa "Miracle Hunter" aliyenipa hii habari ni katekista mmoja hivi toka mkoani kwetu naye anawajua kwa ufupi sana japo anasema haelewi ni wapi kuna mafunzo hayo maana si kila mtu anapata

Aliongeza niwatu ambao wanaweza hata kumuita mzimu wa mtu na wakaongea nao wanafanya mambo yaa ajabu na kutisha mno.
ila sasa shida yangu ilibakia katika lugha wanazotumia na kutokutumia JIna la YESU kama vile wakristo tunavyojua
sasa naomba mwenye kuwajua vyema hawa watu naomba atusaidie habari zao zaidi nimetafuta sana google ila sijapata kitu kwakweli kama ni elimu ziko prohibited naomba unayejua unaweaz hata ukani pm
 
Sijawahi kusikia hii kitu ila nachokiamini Ni kuwa mwenyeziMungu amekataza kuwasiliana na pepo/roho waovu kwa hiyo Kama walifanya hivyo Basi walifanya makosa na wamwonyesha Ni jinsi gani wasivyo waadilifu
 
Ooh kwaiyo shida yako ni jina YESU ..sawa ntawaambie siku nyingi wasi sahau kulitaja sawaova
shida sio JIna la Yesu who real they are?
NImeeleza katika maombi yao hawatumiii Jina la Yesu akama ambavyo ndio common kwa wakristo wote,
 
D
Habari ya jumapili wana JF
kabla sijaileta hoja ya leo naomba kwanza wale ambao hawana interest na mambo ya dini ama hawapendi kujifunza mambo ya ziada huu uzi hauwafai wala hawatakiwi kuwepo hapa, wale wasioamini kuhusu Mungu huu uzi hauwafai
wale wanaona dini zao zimekamilika wala hawataki ziuswe basi pia huu uzi hauwafai.
Huu uzi hauwafai wote wenye personal interest.Sasa naenda katika point yyangu

Kunawatu wanaitwa "MIracle Hunter" hiki cheo anaweza kuwa nacho mtu yeyote mwenye elimu hiyo lakini nimeona sana kwa wale mapadre wanakuwa nayo hii kitu na sio kila padre ila ni few selective
Hawa majamaa kazi zao kubwa wanazokuwa wanadai wanazifanya inakuwa nikufuatilia mambo ambayo yametokea sio ya kikawaida kawaida katika maeneo yao.
NImewahi kushuhudia shuguli moja kule peramiho kwakweli ni mambo fulani kama uganga kabisaa lakini unakuta wanatumia vitu ambavyo ni vitakatifu(kwa madai yao)mfano msalaba, maji ya baraka na baadhi ya sala(spell)

Kilichonifanya kuwa interested kuwajua hawa watu nikuwa kwa mara ya kwanza nilibumiana nao peramiho tena wakiwa wapo wanawajibika(katika pitapita ndio tukajikuta tuko eneo la tukio) walikuwa ni mapadre watatu na walikuwa na wazee wawili na mwana mama mmoja ambaye alikuwa anashida na wanamfanyia ibada fulani alikuwa kafunikwa na shuka fulani rangi ya kaki lina michoro ila sikuelewa ile michoro vizuri maana tulikuwa umbali kidogo na nilijua ni mwanamke sababu ya sauti yake(mimi nilijua anamapepo wanamuombea)lakini utendaji ulikuwa ni tofauti
Kwanza zile sala zao walitumia kilatin na kiingereza(na miongoni mwao padri mmoja alikuwa ni mtu mweusi kabisa) chakushangaza zaidi nikuwa sikusikia neno Jesus katika sala zao za kiingereza , ila ilikuwa ni baadhi tu ya majina ya malaika na commanding language zao binafsi kama "In the name of the Lord...."hayo maneno nayakumbuka vizuri sana nk lakini hawataji jina la Yesu
baadaye tukiwa tunashangaa pale kuna mtu akaja nyuma yetu tuliposimama
kugeuka alikuwa ni padre mwingine akatuambia tuondoke maana tunaweza kudhurika, nilipoondoka ndio katika pelelezapeleleza nikajua wanaitwa "Miracle Hunter" aliyenipa hii habari ni katekista mmoja hivi toka mkoani kwetu naye anawajua kwa ufupi sana japo anasema haelewi ni wapi kuna mafunzo hayo maana si kila mtu anapata

Aliongeza niwatu ambao wanaweza hata kumuita mzimu wa mtu na wakaongea nao wanafanya mambo yaa ajabu na kutisha mno.
ila sasa shida yangu ilibakia katika lugha wanazotumia na kutokutumia JIna la YESU kama vile wakristo tunavyojua
sasa naomba mwenye kuwajua vyema hawa watu naomba atusaidie habari zao zaidi nimetafuta sana google ila sijapata kitu kwakweli kama ni elimu ziko prohibited naomba unayejua unaweaz hata ukani pm

Sijaelewa kitu
 
Sijawahi kusikia hii kitu ila nachokiamini Ni kuwa mwenyeziMungu amekataza kuwasiliana na pepo/roho waovu kwa hiyo Kama walifanya hivyo Basi walifanya makosa na wamwonyesha Ni jinsi gani wasivyo waadilifu
Unalosema nikweli sasa tuweke hayo kando la msingi hapa nikuwajua hawa watu ni akina nani wanafanya nini na dhumuni lao haswa ni lipi?
maana nimeshuhudia mara moja wakiwa wanafanya hizo mambo zao ndio maana nimelileta hapa
 
Wewe ulijuaje kuwa kuwa wale ni mapadre na ulithibitisha vipi kuwa mapadri?
Ukiwa mkatoliki utamjua padri kwa vaa yake na nilikutana na katekist mmoja tofauti na huko peramiho nikiwa nimerudi home
ana ufahamu kidogo juu ya hili na ndio aliniambia wanaitwa hivyo
yeye aliwajua alipokuwa anameenda ujerman kwa masuala ya kikazi kikazi ndio alipata hizo habari, baaa yakukutana na mmojawapo aambaye alikuwa ametoka katika mojawapo ya shuguli hzo
 
Sijawahi sikia kitu kama hicho kwenye ukatoliki
Sio kitu kipo rasmi kwamba kila mmoja anakijua na kinawekwa hadhari only few selective ndio wanajua haya nadhani ndio maana nimejaribu sana kutafuta habari hiii mitandaoni nimeikosa
 
Basi itakuwa ni kikundi cha wakotoliki walioanzisha imani yao nyingine
Huu uzi hauwafai wafia dini mkuu
ndio maana nimetoa angalizo ujue iko hivi kuwa mlutheri au mkatolic au nani haina maana kuwa kanisa ni takatifu
hapana kuna mambo yatakuwepo mengi tu ambayo hata waumini hamuwezi kuyajua ndio maana kanisa mfumo wake wa serikali yake haupo katika biblia ni watu hukaa chini na kuweka mikakati yao binafsi
so kanisa takatifu ni nafsi yako na Mungu wako wala sio lile dhehebu tunaenda kulisalia wala sio hilo jengo Kama wewe ni Mkatoliki wewe ndioo unapaswa Kuwa Mtakati kiimani na matendo ila lile jengo na katiba zinabakia kwa matakwa ya wanadamu tu
angalia maandishi mekundu katika uzi huu ni angalizo msije kupata madhara
 
Back
Top Bottom