Walitoa taarifa, ..mfumo wa mita umebadilishwa , yawezekana taarifa hukuipata juu ya namna ya kuingiza token kwa mara ya kwanza kuanzia tarehe moja Juni, labda piga namba yao huduma kwa wateja watakupa maelekezo .

Ndugu kwani walitoa taarifa kuhusu mtandao au kuhusu mabadiliko ya token toka 20 kwenda 60?
Je, unajua hilo tangazo lilihusu mikoa gani na mleta mada yuko mkoa gani?
Walitoa taarifa, ..mfumo wa mita umebadilishwa , yawezekana taarifa hukuipata juu ya namna ya kuingiza token kwa mara ya kwanza kuanzia tarehe moja Juni, labda piga namba yao huduma kwa wateja watakupa maelekezo .
Walitoa taarifa, ..mfumo wa mita umebadilishwa , yawezekana taarifa hukuipata juu ya namna ya kuingiza token kwa mara ya kwanza kuanzia tarehe moja Juni, labda piga namba yao huduma kwa wateja watakupa maelekezo .
Nimefuatilia kweli wamebadìli mfumo na wameanza na kanda ya ziwa ila cha ajabu ni kwamba nimenunua umeme ila wamenipa token ya kundi moja la tarakimu 20 tu. Nimejaribu kuwacheki whats app nimechatishwa na chatbot mwisho wa siku haijanisaidia. Ngoja niwapigie nisikie

Piga simu japo utapigiwa wimbo wa harmonize kwa muda mrefu ila wanapokea. Mimi nilifunga umeme nyumba mpya nikanunua umeme halhams ukawa unagoma kuingia nikawapigia wakanipa toke za kundi mbili ijumaa yani kila kundi ina namba 20 jumla arobaini kundi la pili lilikosewa. Nikawapigia tena jumatatu wakanipa upya. So wanapokea kusema ahwapokei ni uongo. piga simu