Mfumo wa e-NIDA umekuwa haupatikani kwa takriban wiki sasa. Huduma kama online application zimekuwa hazipatikani kwa wiki mbili sasa. Huduma ya "Fahamu NIDA Yako" nayo imeathiriwa, na wale waliosajiliwa kuanzia tarehe 01-06 bado namba zao zipo pending mpaka sasa, ikielekea wiki ya tatu.
kwaiyo endelea kusubiri pengine next week wataweka mambo sawa kama unavyojua huduma za gavo ni zipo slow ni kama IT hawajui kuwa kunashida iyo