Kuna sheria inayokatazaa uanzishwaji wa strip clubs?

chrissmeck

Senior Member
Nov 14, 2013
110
105
Naomba kuuliza kuhusu sheria za nchi kuhusu uanzishwaji wa strip clubs hapa Tanzania. Na vipi kuhusu ile strip club pale Ilala mtendeni? Bado ipo?
 
Nasikia zinaitwa vigodoro ukija kuita strip club wataifungia wewe iite Vigodoro club. Ukifanikiwa tushtuwane mkuu
 
Back
Top Bottom