Kuna routes za fastjet Mbeya to Mwanza?

Hakuna route ya fast jet ya Mbeya to Mwanza. Route zilizoko ni Dar-Mbeya-Dar, Dar-Mwanza-Dar, Dar-Zanzibar-Dar, Mwanza-Kilimanjaro-Dar, na Dar-Kilimanjaro-Dar. Kwa hiyo inabidi tu uwe mpole uruke Mbeya-Dar then Dar - Mwanza halafu Mwanza-Dar na baadaye Dar-Mbeya kurudi kwenu.
 
Back
Top Bottom