Mimi nilijua amekwambia wewe tu.., kumbe kawaambia nyinyi (mpo wengi..!!) hakuna siri ya watu wawili nina uhakika na wewe ushamwambia mke wako ambae sasa anamuangalia rafiki yake kwa jicho la kebehi, au kama anakwenda saloon sitashangaa kama mtaa mzima unajua.., na habari zikimfikia muhusika najua itampunguzia confidence...Unapo kuwa na rafiki yako unamchukulia kama ndugu yako...angeweza kwenda kumuambia mama yake au ndugu zake, lakini anajua wazi sisi rafiki zake tunaweza kumsaidia na hatuwezi kumdharau mke wake.
Rafiki yako ambaye anakuthamini lazima na wewe umthamini...Angejua sisi washenzi asinge tuambia.
@sun wu,
Katuambia mimi na rafiki yake mwingine, sidhani kama huyo rafiki mwingine anaweza kumtolea siri rafiki yake sababu namjua ni bora kuliko mimi, na pia ikiwa mimi siwezi kumtolea siri zake vipi yule akamtolee siri zake.
Mke wangu hajui, na swali nalo uliza hapa siwezi kumuliza mke wangu sababu atajua tu nimemkusudia yule rafiki yangu.
Na nani kasema hakuna siri dunaini? We hujui kama kuna viongozi wana watoto na hakuna mtu anajua mpaa wanakufa
Wano jua ni jamaa zao tu wakaribu.
Siri zipo inategemea unazitangazia wapi na kwa nani.
Hahaha mimi niwe mufti mbona dunia itakuwa sio hii nayo ijua.Mkuu taratibu, najua kama si mkeo bali pia haipaswi kujua kama anajikojolea na kma huyo mshikaji wako anataka ushauri wewe ndio umekuwa mufti na kama ni muelewa zaidi mbona umekuja tandika hapa hii habari.
Usikonde basi...
Asante tamfikishia ujumbe huo.Okay kwa kumsaidia rafiki yako soma hapa
Adult Bedwetting | Incontinence, Nocturia, Enlarged Prostate, and Prolapse Information
Hapo kuna kuanzia causes; mpaka jinsi ya kuacha;
Kwa shortcut ya links bofya hapo chini
Adult Nocturnal Enuresis
Hii Alhamis kuna rafiki yangu kaoa, lakini matatizo mke wake ni kikojozi ana jikojolea kitandania sasa afanye nini.
Mimi nimemuambia avumilie tu, ule mkojo wake unaweza kuwa dawa kwenye mwili wake :biggrin1:
Ushauri mzur, asante sana.Mie kuna ndugu yangu mtoto wa nanihii ni kikojozi na kaolewa mwaka jana ..lakini kwa vile mme wake anampenda alianza kuchunguza ni mida gani binti anakojoa so shemeji akaweka alarm ..kila ikifika karibia mida ile anamwamsha aende toilet ,naona inamsaidia binti hakojoi tena kitandani
Sijawahi kusikia mkojo umekuwa dawa ktk mwili wa m2. Pia kwa zama hizi asilimia kubwa ya wanao-oana wanakuwa tayari wameshakuwa wapenzi kwa kipindi kirefu 2 kiasi cha kuelezana au kugundua mapungufu ya mwenzie, ILA km ni miongoni mwa watakatifu waliopo ambao hawakufahamiana kipindi cha uchumba ,kukojoa siyo jambo kubwa kihivyo anaweza kuwaona wataalamu wa afya na huyo mkewe akaelezea historia ya tatizo na wanaweza kupata ufumbuzi.Hii Alhamis kuna rafiki yangu kaoa, lakini matatizo mke wake ni kikojozi ana jikojolea kitandania sasa afanye nini.
Mimi nimemuambia avumilie tu, ule mkojo wake unaweza kuwa dawa kwenye mwili wake :biggrin1:
Inawezekana, itabidi nimuambie amfatilie sana anaweza kuwa anapenda sana ma juice juice.
Yeah itabidi nimpeleke kwa kina mwana mayu wamsaidie.Kuna rafiki yangu alinambia kaka ayke alikuwa anakojoa mpaka form four; mama yake akampeleka kwao usukumani wakampa dawa za kienyeji akaacha na sasa ana mke na watoto. Kijana alipata shida maana alikuwa anasoma boarding; shule wote walikuwa wanamjua ni kikojozi.
Hence try traditional medicines.
Dawa za asili zinatibu. Mimi ninaye binamu yangu msichana alikuwa anaumwaga kwa saana tu. Katika kutafuta tiba, tulipewa "maua makavu ya asumini" ili tuyachemshe na kumpa maji yake kama chai (asubuhi na usiku), na lile tatizo likaondoka kabisa chini ya wiki mbili.Kuna rafiki yangu alinambia kaka ayke alikuwa anakojoa mpaka form four; mama yake akampeleka kwao usukumani wakampa dawa za kienyeji akaacha na sasa ana mke na watoto. Kijana alipata shida maana alikuwa anasoma boarding; shule wote walikuwa wanamjua ni kikojozi.
Hence try traditional medicines.