Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,305
- 29,851
Hivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi
Unakuta mtu nguo ya ndani hafui naakifua anavaa ikiwa mbichi bafuni , Kuna jamaa angu Leo nimecheka sana kaenda kuoga namsikia anafua ajabu ametoka bafuni nguo aliyokuwa anafua haionekani nikasema hiyo ni boxer kafua na kuvaa ikiwa na mimaji Maji Sasa siatapata fangasi na miwasho