Kuna rafiki yangu huwa anafua boxer nakuvaa ikiwa mbichi

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,840
Hivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi

Unakuta mtu nguo ya ndani hafui naakifua anavaa ikiwa mbichi bafuni , Kuna jamaa angu Leo nimecheka sana kaenda kuoga namsikia anafua ajabu ametoka bafuni nguo aliyokuwa anafua haionekani nikasema hiyo ni boxer kafua na kuvaa ikiwa na mimaji Maji Sasa siatapata fangasi na miwasho
 
Hivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi

Unakuta mtu nguo ya ndani hafui naakifua anavaa ikiwa mbichi bafuni ,, Kuna jamaa angu Leo nimecheka sana kaenda kuoga namsikia anafua ajabu ametoka bafuni nguo aliyokuwa anafua haionekani nikasema hiyo ni boxer kafua na kuvaa ikiwa na mimaji Maji Sasa siatapata fangasi na miwasho
Bora kufua boxer na kuvaa kiliko kisifia vifua vya wanaume wenzako na kutamani kuwa shoga

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20230716-170304_Quora.jpg

We kijana kituo kinachofata ni kupakwa samli ili usiumie sana..
 
Back
Top Bottom