MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,520
- 39,103
Mkuu tupo tunaokula mema ya nchi, yale Mungu aliyoyakusudiaTatizo mwenyezi Mungu hakupi vyote,
Mwonekano wa nje sio sawa na mwonekano wa ndani.
Ni adimu Sana upate mwanamke ambae ni pisi Kali kotekote, yaani nje na ndani.
Yaani awe mrembo kwa nje(sura na umbo)
Na awe mrembo kwa ndani(kidudu Chenye mwonekano wa kuvutia ukimtazama uchi)
Lakini wote ni wanawake hapo lazima ukae siti ya mwisho ukichungulia mbele kwa shida na kwa sabb we mfupi sana.... Tafuta pesa pisi kali ambao hawana kasoro wanamwagiwa mipesa ya kutosha hapo ndo wanatanukia mil, watavaa laki 9, watafanya shape ya mil 300..... Ww rfk angu unamuhonga dem wako buku mbili unazani ataweza kua pisi kali muda wote jua linamtandika..... Pesa sabuni ya roho.... Hata usipooga utakua pisi tuWasalaam wana JF
Katika pita pita zangu huko kwenye mabaraza ya watu waovu ninaleta ushuhuda kwenu kwamba kuna PISI KALI na vipisi vikali.
Nimetoa description tu ya akina dada huko kwenye mikusanyiko ya mabaraza ya watu waovuLakin wote ni wanawake hapo lazima ukae siti ya mwisho ukichungulia mbele kwa shida na kwa sabb we mfupi sana.... Tafuta pesa pisi kali ambao hawana kasoro wanamwagiwa mipesa ya kutosha hapo ndo wanatanukia mil, watavaa laki 9, watafanya shape ya mil 300..... Ww rfk angu unamuhonga dem wako buku mbili unazani ataweza kua pisi kali muda wote jua linamtandika..... Pesa sabuni ya roho.... Hata usipooga utakua pisi tu
Ubaya ni ubaya tu, sasa Mungu anahusikaje? Dingi alitakiwa alenge demu mkali azae nae, mengine ni yetu sisi wanadamuThamani ya mtu haipimwi na takataka ulizoandika hapo ,Mungu ndio anajua thamani ya mtu.
Haijalishi una macho, umbo ,rangi ,pesa na hata uwe na vitu vyote thamani ya mtu mmoja unayemuita mbaya ni kubwa sana na usijidanganye ni bora kuliko yeye
Sema hajiujui tu
Samahani kwa maneno makali lakini thamani ya mtu haipimwi kizembe hivyo mkuu
Nimeboresha uzi, na weusi wenye rangi asili angavu pia nimewakumbukaUnazungumzia wazungu au warabu?
Nimeboresha, ata hao weusi wenye rangi asili angavu ni pisi-kaliKwahy mwanamke akiwa na black color hawez kuwa pis Kali .kwang sifa ya kwanza ya pisi Kali awe na black au Chocolat color.tofauti na apo weka x
Hata wewe unamapungufu yako bossWasalaam wana JF
Katika pita pita zangu huko kwenye mabaraza ya watu waovu ninaleta ushuhuda kwenu kwamba kuna PISI KALI na vipisi vikali.
Sawa MkuuNimetoa description tu ya akina dada huko kwenye mikusanyiko ya mabaraza ya watu waovu