Kuna nn bs food science n technology..-?? Ushauri wako plz......

Slaker

JF-Expert Member
May 11, 2012
237
28
Wana jf kitambo kdogo kimepita since tcu watoenotification za admission 2o12/2013....sasa kwa bahati nzuri nkawa admitted kwenye hii bs food science n technology at sua,,,kila nliekuwa nikimueleza alibaki kunishangaa kisa nlisoma egm hadi food sci......xaxa wana jf naombeni kwa mwenye full details za huu mzigo kwamba je mtu aliyesoma EGM anaweza kukomaa nao???? Au kama vp nkienda nkimbilie koz nyingne kama vle bs agricultural economics n agribussiness,,,,,,,ushauri wako ntauheshimu,,,,.
 
mkuu hapo hakuna EGM wala PCM AU PCB!! hujajiuliza ni kwaninin mtu amesoma pcb na akapangiwa M.D lakin mwisho wa siku anadisco!! mi nadhan ni wewe tu na jinsi utavyoanza!!
ILA KAMA UMEIPENDA JUST GO FOR IT,NAIMAN NI NZURI...ILA KAMA SIO BADILI...
 
mkuu hapo hakuna EGM wala PCM AU PCB!! hujajiuliza ni kwaninin mtu amesoma pcb na akapangiwa M.D lakin mwisho wa siku anadisco!! mi nadhan ni wewe tu na jinsi utavyoanza!!
ILA KAMA UMEIPENDA JUST GO FOR IT,NAIMAN NI NZURI...ILA KAMA SIO BADILI...

Poa mkuu,,,,,,ahsante kwa ushauri wako
 
haina noma mkuu Slaker your welcome and i hope tutakutana sua!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwani wewe ulichagua hiyo course? kama ndio hivyo basi mwenye makosa ni wewe, sijui organic chemistry itakufanya nini kwasababu hizo course huwa zinaitaji background ya advanced biology/chemistry vinginevyo itakupa shida sana
 
Mkuu huu mzigo nliutupia selektn no. 4,hlo ni kosa langu ,na admit bt mkuu kozi za priority ziliisha xaxa we unafkiri ingekuwaje mkuu?? Utartibu huu ni nouma nobody knows waliposema non priority wanamaanisha au ?? Ngoja 2one ....ila kan i change da kozi,?? Kwa anaejua aniambie utaratibu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom