Kuna nini viongozi?

Kuna nini viongozi?

peho

Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
75
Reaction score
23
Martha mlata mbunge kafiwa na mzazi.zitto kabwe kafiwa na mama.mke wa mh lukuvi kafiwa na baba.asha rose migiro kafiwa na mdogo wake.jamani ni nini tena? Viongozi wote wamefiwa kwa wakati mmoja.poleni sana.
 
Super handsome you are right.sema tu nimeona ni vyote vimetokea ktk siku mbili juzi na jana.by the way asante kwa kuchangia.
 
Back
Top Bottom