Ndg wana JF na wasakatonge wnzng wa ajira, miezi miwili ilopta TANROAD Songea walitangaza nafasi za kazi ikiwemo shift-Incharge.
Chakushangaza hadi leo sijapata simu wala taarifa yeyote ya mchakato,naombeni msaada wenu ili nijue wapi pakupata nauli.
Asante.