Utakua unatinduliwa ww na unaishi kwa shemeji yako uso jua uchungu wa watoto ww endelea kulambishwa anacho lambishwa dada yako kima wwEndelea kusokomezwa ukuni huko nyuma hadi uone venye moto utakuwakia, kenge mmoja delicious wewe!
Hebu funguka MjubaNaunga mkono hoja!
Jamaa wanajiona alshabab kabisa, kusoma hawasomi kazi kujifunza karate tu!
Hakuna kazi ngumu kama kuikubalisha akili kuwa vyanzo vya moto havijulikani, huko kutakuwa kujitoa ufahamu.
Lini??Serikali iko macho 24/7 kama ni hila ya wanadamu wasijidanganye kwamba hawatajulikana na kutiwa nguvuni! Ni swala la muda tu.
Leo nimesikia shule ya uchira Islamic imeungua moto, naungana na wewe kusema kuna hila madhubuti imeshapangwa ili kuleta machafuko Tanzania. Serikali na jeshi la polisi linatakiwa kuamka kutazama huu uchomaji wa shule, hili si jambo la kupuuzwa hata kidogo.Mimi ninachowaza kuna hila zinatengenezwa hapa za kidini na mtakuja kukumbuka maneno yangu. Mwisho wa siku mtakuja kusikia kuna shule za wakiristo nazo zinaanza kuchomwa then utasikia ni Waislamu wanalipiza kisasi ndio hapo watu wataanza kutafutiana uchawi. Huu uchomaji ni wa kupangwa kabisa kuchochea hisia za watu na watu watakuwa wanalipwa kabisa amini maneno yangu.
Hapana sio kweli hata kidogo, ninavyohisi mimi pengine kuna waislam baadhi ndo wanaratibu huo mpango au kikundi fulani cha watu( sina ushahidi na jambo hili). Sasa baadae litakuja amka vuguvugu la kutetea maslahi ya waislam ndo hapa tutaanza kuitana Ugaidi umeingia TanzaniaITAKUWA WAPAGANI NDO WANAOZICHOMA MAANA HAO HAWAMUAMINI MUNGU
Halafu mbona yule mwenyekiti wa amani kila akisimama kutoa neno au tamko na shule inaungua? Kuna nini hapa?Mimi ninachowaza kuna hila zinatengenezwa hapa za kidini na mtakuja kukumbuka maneno yangu. Mwisho wa siku mtakuja kusikia kuna shule za wakiristo nazo zinaanza kuchomwa then utasikia ni Waislamu wanalipiza kisasi ndio hapo watu wataanza kutafutiana uchawi. Huu uchomaji ni wa kupangwa kabisa kuchochea hisia za watu na watu watakuwa wanalipwa kabisa amini maneno yangu.
Kufupisha story sema kwa ujasiri kuwa ni sirikali yenyewe inachoma!Hicho ndicho ninachoamini mimiMimi ninachowaza kuna hila zinatengenezwa hapa za kidini na mtakuja kukumbuka maneno yangu. Mwisho wa siku mtakuja kusikia kuna shule za wakiristo nazo zinaanza kuchomwa then utasikia ni Waislamu wanalipiza kisasi ndio hapo watu wataanza kutafutiana uchawi. Huu uchomaji ni wa kupangwa kabisa kuchochea hisia za watu na watu watakuwa wanalipwa kabisa amini maneno yangu.
Wapo kimya kwa sababu wao ndiyo wahusika.Mark my wordsLeo nimesikia shule ya uchira Islamic imeungua moto, naungana na wewe kusema kuna hila madhubuti imeshapangwa ili kuleta machafuko Tanzania. Serikali na jeshi la polisi linatakiwa kuamka kutazama huu uchomaji wa shule, hili si jambo la kupuuzwa hata kidogo.
Ajabu rais yupo kimya, makamo yupo kimya. Jeshi la polisi haliwezi kufanya kazi kwa weledi wake wapo busy na siasa. Sasa endelea ni kufanya siasa ugaidi utaingia mpaka mjini