Kuna nini Shule za Kiislamu kuungua moto?

complex31

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
203
500
Kwa muda sasa kumekua na sintofahamu kwa shule za Kiislamu kuungua moto, hizi ni baadhi ya shule hizo

1. 18/07/2020 MIVUMONI ISLAMIC SEMINARY

2. 17/07/2020 KINONDONI MUSLIM

3. 04/07/2020 ILALA ISLAMIC SECONDARY

4. 14/09/2020 BYAMUNGU ISLAMIC PRIMARY

5. 19/07/2020 MTAMBANI ISLAMIC

6. 08/08/2020 MTAMBANI ikaungua tena

7. 26/08/2020 KALOLENI ISLAMIC

TABORA ISLAMIC SCHOOL

9. 16/10/2020 UCHIRA ISLAMIC

Vyanzo vya moto bado havijajulikana na polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
5,363
2,000
Serikali iko macho 24/7 kama ni hila ya wanadamu wasijidanganye kwamba hawatajulikana na kutiwa nguvuni! Ni swala la muda tu.
 
sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
3,635
2,000
Sijui hata kuna nini , naamini wanaohujum watafahamika tu ni suala LA muda
 
je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
436
500
Mimi ninachowaza kuna hila zinatengenezwa hapa za kidini na mtakuja kukumbuka maneno yangu. Mwisho wa siku mtakuja kusikia kuna shule za wakiristo nazo zinaanza kuchomwa then utasikia ni Waislamu wanalipiza kisasi ndio hapo watu wataanza kutafutiana uchawi. Huu uchomaji ni wa kupangwa kabisa kuchochea hisia za watu na watu watakuwa wanalipwa kabisa amini maneno yangu.
 
Kete Ngumu

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
5,892
2,000
Hakuna kazi ngumu kama kuikubalisha akili kuwa vyanzo vya moto havijulikani, huko kutakuwa kujitoa ufahamu.
 
madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,565
2,000
Endelea kusokomezwa ukuni huko nyuma hadi uone venye moto utakuwakia, kenge mmoja delicious wewe!
Utakua unatinduliwa ww na unaishi kwa shemeji yako uso jua uchungu wa watoto ww endelea kulambishwa anacho lambishwa dada yako kima ww
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
5,478
2,000
Hakuna kazi ngumu kama kuikubalisha akili kuwa vyanzo vya moto havijulikani, huko kutakuwa kujitoa ufahamu.

Eti vyanzo havijulikani!!

Siku hizi jeshi la polisi limekuwa hovyo sana, hakuna uchunguzi kila kitu wanaropoka tu watu wasiojulikana.... jeshi moja la kipuuzi sana dadadeeki!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,613
2,000
Kuna jambo baya kubwa nyuma ya pazia linajaribu kutengenezwa hapa.....na hii ni kutokana na huu uchaguzi ...kuna viashiria chama dola kimeelemewa kila upande sasa chuki ya kidini inajaribu kupandikizwa
 
lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,949
2,000
Mimi ninachowaza kuna hila zinatengenezwa hapa za kidini na mtakuja kukumbuka maneno yangu. Mwisho wa siku mtakuja kusikia kuna shule za wakiristo nazo zinaanza kuchomwa then utasikia ni Waislamu wanalipiza kisasi ndio hapo watu wataanza kutafutiana uchawi. Huu uchomaji ni wa kupangwa kabisa kuchochea hisia za watu na watu watakuwa wanalipwa kabisa amini maneno yangu.
Leo nimesikia shule ya uchira Islamic imeungua moto, naungana na wewe kusema kuna hila madhubuti imeshapangwa ili kuleta machafuko Tanzania. Serikali na jeshi la polisi linatakiwa kuamka kutazama huu uchomaji wa shule, hili si jambo la kupuuzwa hata kidogo.

Ajabu rais yupo kimya, makamo yupo kimya. Jeshi la polisi haliwezi kufanya kazi kwa weledi wake wapo busy na siasa. Sasa endelea ni kufanya siasa ugaidi utaingia mpaka mjini
 
lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,949
2,000
ITAKUWA WAPAGANI NDO WANAOZICHOMA MAANA HAO HAWAMUAMINI MUNGU
Hapana sio kweli hata kidogo, ninavyohisi mimi pengine kuna waislam baadhi ndo wanaratibu huo mpango au kikundi fulani cha watu( sina ushahidi na jambo hili). Sasa baadae litakuja amka vuguvugu la kutetea maslahi ya waislam ndo hapa tutaanza kuitana Ugaidi umeingia Tanzania

Serikali inachotakiwa kufanya ni kufika kwenye hizi shule zilizoungua na kuwajengea mabweni mengine ili kunormalize mambo waislam waone serikalini ipo pamoja nao

Pili, kuchunguza vijana wanaosoma hizi shule kama kuna wenye msimamo mkali pengine wameratibiwa na kuandaliwa kwa ajili ya shuhuli ya uchomaji
 
Kashaulo

JF-Expert Member
Jun 14, 2019
1,947
2,000
Waislamu wanafunzwa kuchukia elimu dunia, hivyo wachomaji ni hao hao wanafunzi... ndiyo maana hata uchunguzi haufanyiki.
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,286
2,000
Mimi ninachowaza kuna hila zinatengenezwa hapa za kidini na mtakuja kukumbuka maneno yangu. Mwisho wa siku mtakuja kusikia kuna shule za wakiristo nazo zinaanza kuchomwa then utasikia ni Waislamu wanalipiza kisasi ndio hapo watu wataanza kutafutiana uchawi. Huu uchomaji ni wa kupangwa kabisa kuchochea hisia za watu na watu watakuwa wanalipwa kabisa amini maneno yangu.
Halafu mbona yule mwenyekiti wa amani kila akisimama kutoa neno au tamko na shule inaungua? Kuna nini hapa?
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
25,769
2,000
Mimi ninachowaza kuna hila zinatengenezwa hapa za kidini na mtakuja kukumbuka maneno yangu. Mwisho wa siku mtakuja kusikia kuna shule za wakiristo nazo zinaanza kuchomwa then utasikia ni Waislamu wanalipiza kisasi ndio hapo watu wataanza kutafutiana uchawi. Huu uchomaji ni wa kupangwa kabisa kuchochea hisia za watu na watu watakuwa wanalipwa kabisa amini maneno yangu.
Kufupisha story sema kwa ujasiri kuwa ni sirikali yenyewe inachoma!Hicho ndicho ninachoamini mimi
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
25,769
2,000
Leo nimesikia shule ya uchira Islamic imeungua moto, naungana na wewe kusema kuna hila madhubuti imeshapangwa ili kuleta machafuko Tanzania. Serikali na jeshi la polisi linatakiwa kuamka kutazama huu uchomaji wa shule, hili si jambo la kupuuzwa hata kidogo.
Ajabu rais yupo kimya, makamo yupo kimya. Jeshi la polisi haliwezi kufanya kazi kwa weledi wake wapo busy na siasa. Sasa endelea ni kufanya siasa ugaidi utaingia mpaka mjini
Wapo kimya kwa sababu wao ndiyo wahusika.Mark my words
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,028
2,000
Kuta kuwa kuna tatizo ndani ya waislamu wenyewe hasa wanao ipinga bakwata kuwa ni ya serikali haiwakilishi waislamu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom