Kwani mama ndiye anayetoa vitambulisho?Mama ako UG kwa M7, unamwambia nani hapa?
Mie Kitambulisho hakijatoka toka mwaka juzi wakati akiwepo Dr, Sijui unataka kumaanisha nini?Dr magufuli kafa kila mtumishi sahivi kila anajiona yey ni raisi unategemea nini hapa.
Nida nili-register mwaka 2017, nimekaa miaka 4 bila kupata kadi na mwendakuzimu alikuwa bado hajafa.Dr magufuli kafa kila mtumishi sahivi kila anajiona yey ni raisi unategemea nn hap
Kila siku yanatudanganya mashine za kisasa zimeingia...mapimbi hao.Kuna uozo mahali hapo NIDA au wizara ya mambo ya ndani. Haiingii akilini miaka miwili kitambulisho hakikamiliki.
Mpumbavu we msukuma. Samia alianza uho mchakato, kwa taarifa yako dikteta amekomba ila karibia kila idara kapeleka chatttttle kwenye miradi ya ovyoMama ako UG kwa M7, unamwambia nani hapa?
Hela za huo mradi wa vitambulisho, mwendazake alizipeleka kwenye airport chattleKila siku yanatudanganya mashine za kisasa zimeeingia...mapimbi hao.
Inahitajika sasa tuanze kuweka mabango mitandaoni hata huyo waziri achomolewe hapo....waingie watu wenye focus bhana.
[emoji22][emoji24]...kama ndivyo hivyo.Ela za uho mradi wa vitambulisho,mwendazake alizipeleka kwenye airport chattle
Huu mfumo wa hovyo NIDA ndo Magufuli kauanzishaDr magufuli kafa kila mtumishi sahivi kila anajiona yey ni raisi unategemea nn hap.
Huwezi kudadavua kwenye hili sababu mie ni muhanga wa kuwa na namba bila kitambulisha kwa zaidi ya Mwaka na Nusu, halafu unakuja na ngonjera. Huyu mzee wetu mumpumzishe sasa na sio kila kona mnaweka reference yake hata kama hakuna uhusiano.Naona uvivu kuanza kukudadavulia hembu endelea na unalo amini sawa sawa?
Overration behind JPM is something else.. ilikuwa aongoze Taifa hili milele?Dr magufuli kafa kila mtumishi sahivi kila anajiona yey ni raisi unategemea nn hap,,,,
Kuwa kijana na uaminifu vinafananaje?Niliwahi kusema hii nchi inahitajika vijana wadogo waaminifu waikimbize mchaka mchaka.
Yaani mijitu inalipwa bado inaweka mitambi juu ya meza 3+ years.
Inatia aibu + huzuni sana kwa kweli...vya kura ni kwa muda mfupi tuu,ila hivi wanajivita kama minyoo
Ilihali wizara ya mambo ya ndani .Chini ya Simbachawene alisema mpk July waTz wote watakuwa wamepata ID...ila mpaka saiv Holla
Hii nchi inaongozwa kwa mihemko + maneno maneno tuu
Tatizo la vitambulisho lilikuwepo hata wakati hiwe yupoDr magufuli kafa kila mtumishi sahivi kila anajiona yey ni raisi unategemea nn hap,,,,